Nilikuwa naangalia kipindi cha huyu bwana sasa yeye mahubiri yake mengi stori nyingi, kuhimiza watu kutoa sadaka na kuponda wahubiri wenzake kama kakobe na mama lwakatare mpaka anamwita mama wa misukule fake sasa naomba historia ya huyu bwana kwa mtu anaeijua vizuri
Hakuna kuacha matapeli wanaotumia dini lazima CV zao zijulikane,mbona akina Pengo,Malasusa,Mokiwa CV zao ziko njenje pia tunataka cv ya mama dk mhe mchungaji,mfanyabiashara Lwakatale
Hakuna kuacha matapeli wanaotumia dini lazima CV zao zijulikane,mbona akina Pengo,Malasusa,Mokiwa CV zao ziko njenje pia tunataka cv ya mama dk mhe mchungaji,mfanyabiashara Lwakatale
Sasa wewe unayemhisi Mzee wa Upako kuwa ni tapeli anayetumia dini si ndio ujihangaishe kutafuta CV yake?Au watafute waumini wenzio wenye imani kama hiyo (kuwa wahubiri hao ni matapeli) muanze msako huo wa CV.
Vinginevyo wanaendelea kuwa wahubiri wa neno la Mungu unless kundi lenu proves otherwise.
Yaani mtu asiwe screened kwa sababu Mungu ndo anayehukumu?? Basi tufunge college ya Mahakama kule 'Ushoto' na tufunge mahakama zote na tuache kila kitu Mungu atoe hukumu ati
Yaani mtu asiwe screened kwa sababu Mungu ndo anayehukumu?? Basi tufunge college ya Mahakama kule 'Ushoto' na tufunge mahakama zote na tuache kila kitu Mungu atoe hukumu ati