CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Jana wakati wa mahubiri, kama ilivyo ada alipewa hela na muumini. Akasema: Kila elfu kumi ni Lori. Meaning kuwa ukitoa elfu kumi ukampa utaombewa na malipo yako Mungu atakupa Lori.Jamani twendeni!

Uloi nga mâché68;9971596 said:Nendeni wavivu wa kufikiri maana amesema pale hakuna Mungu wala Yesu ila miujiza yake tu ndio mnayo fuata. upako gani mnafuata enyi wavivu wa kufikiri! Mbona mnakuwa Kama Wagalatia? Ni nani aliyewaloga?
We kalaga bao, huoni waumini wanaonyesha funguo za semi-trailers!
Mimi nawaomba hawa manabii wawaponye watu ugonjwa wa ukimwi mbona hili sijawahi sikia
mimi nilishampaga wekundu10 (laki) nikajua labda nitakua bilionea matokeo sikuyaona nikaamua kujiondokea mdogomdogo taratiiibu bila kelele nikajua nimeliwa uvivu wakufikiri umeniponzaUloi nga mâché68;9975865 said:Shida ya
Watanzania wengi ni uvivu wa kufikiri na kupenda mafanikio kwa urahisi
bila jasho. Trailers utazipata uko kijiweni bila kazi yoyote??????
Fanya kai ka bidii utapata mafanikio. Huyo Lusekelo anacheza na
saikolojia za wavivu wa kufikiri tu ambao kwao hujikusanyia "msimbazi"a
bure na kuishi kiulaini!!!!!!!!!!AMKENI MAZUZU MUDA UNAKWENDA NA HUYO
KIBWETERE WENU anazidi kuneemeka!!!!!!
Mimi ninayetaka Vitz natakiwa nitoe shilingi ngapi? maana sihitaji Lori.