Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

CCM hata wakiona Mmasai Mchungaji Ng"ombe Adrenalin Hormones zaonzinakuwa juu Sana kama wameona Simba vile
 
Mianya ya ufisadi na wizi serkalini imefungwa kwa hiyo sasa hivi kina Mzee wa Upako hawapati sadaka nyingi Kama zamani.
Si ajabu mama alipata mimba nje ya ndoa ila sasa hivi unadai haki kama uko kwa baba halali
 
Na bado.....Lowassa atazidi kuwawewesua CCM mpaka akili ziwakae vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…