ni kwanini wanamuongelea Sana?Kama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?
Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!
Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.
figisufigisuUnakuwa maarufu kuliko chama alafu unakatwa kirahisi. By then kama alikuwa maarufu kuliko chama alivyohama kwa nini hakushinda urais na umaarufu wake? Unyumbu ni shiiida
kuweka kumbukumbu sawa hakuna mahali lowassa huwa anapiga vijembe,wote humu ni mashahidi lowassa Mara nyingi amekuwa kimya ni matusi mangapi ametukanwa akiwa kwenye kampeni umewahi kuona hata amejibu?
Hata akigombea Sumaye,ukweli huu bado utaendelea kuishi.Ni tishio kwa CCM, kwa hiyo atagombea tena 2020 au ni zamu ya Sumaye?
Ebu tupe ushahidi wa kutosha wa hao watu walikuwa wakipewa nafasi ya Kuongea walikuwa wangapi?! Acha unafiki weweKatika dunia ya leo ukiona unatajwa kila wakati ujue wamekukubali,bado hawajiamini na uyu jamaa.
Nyinyi mmeenda kwa agenda ya uchaguzi wa mwenyekiti iweje kila anaepewa maiki ni Lowa.... ,mimi nafikili kabla ya kikao walipeana muongozo wa kumshambulia kwa kila atakaepata nafasi ya kuongea.
Tukae tukumbuke Edo mtu kama watu wengine anastaili heshima na kusaminiwa utu wake hakuwa na mkataba wa kukaa maisha yake yote ndani ccm.
Binadamu wanamuasi mungu itakuwa chama
Tuangalie mifano ya kina Maltin Luther King mbona aliama RC na amefanya mambo mazuri na waroma hawamuongelei vibaya.
Magamba walikuwa na mengi ya kupanga kama waliona agenda ya uenyekiti haitoshi
Inaelekea kwa Edo wamepata pigo sana na hatawatoka midomoni mwao mpaka kizazi chao kitakapotoweka duniani
Magamba nawashauli ndani ya chama kama mtajipanga wapo bora kama Edo sio kazi ya mipasho kama wote mmezaliwa pwani
Edo upo juu wala usipige mayowe acha wakujadiri wenyewe.
Haijawai kutokea mwenyekiti kukabidi mabook manne yanayoeleza jinsi ulivyowajelui,na wamekili kuwa yanaeleza kwanini walipata mtikisiko.
Kama umejaa kwenye midomo yao itakuwa kwenye yale mabook chezea Edo weeee!
Amani kwako Edo.
Hata sisi lowassa alitucheleweshia haki yetu kipindi akiwa serikalini ila Sasa ndo tumepata. We Thank God kabisaHivi mnajua kwa nini wanamuogopa lowasa wanajua aslimia 100 edo alishinda kwa kishindo ila jamani ni vigumu kutamka kuwa alitushinda tukamfanyia figisu ila haki ya mtu huwa haipotei bali inacheleweshwa tu.yupo msemaji wa mwisho ambae ni bwana God ulimwengu hawataamini.
yeye ametulia hahangaiki na personalities zenu ndani ya CCM lakini ninyi kutwa kucha mnahangaika na personality yake...wataalamu wanakwambia kuwa mko obsessed na lowasaKama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?
Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!
Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.
Huyo kwisha kazi na wala haogopewi na watala. Ila. Nahisi huko aliko ndo wanamwogopa zaidi mana kila asemalo halipingwi na kesha jihakikishia kuwa mgombea 2020. Poleni VVUNi kweli wanamuogopa tumeshuhudia wenywe aidha kwenye mitandao ya kijamii ama kwenye mikutano ya ccm ni lazima walitaje jina la lowassa ili malengo yao yaweze kukamilika.
Acha weee,kwa hiyo magazeti nayo yameongopa au unataka umaarufu kuwa na wewe umechangia mada kupitia kwangu,Ebu tupe ushahidi wa kutosha wa hao watu walikuwa wakipewa nafasi ya Kuongea walikuwa wangapi?! Acha unafiki wewe
Nenda taratibu. Kuna kushinda na kuna kutangazwa kushinda, hivyo la kwamba hakushinda kiuhalisia mimi na wewe hatujui! Kwanini usisimame katika hoja ya msingi, kwamba kama CCM hakimhofii Lowassa kwanini kinatumia muda mrefu katika mkutano muhimu kama ule kumjadili Lowassa badala ya kujadili mambo yao?Unakuwa maarufu kuliko chama alafu unakatwa kirahisi. By then kama alikuwa maarufu kuliko chama alivyohama kwa nini hakushinda urais na umaarufu wake? Unyumbu ni shiiida