Mzee wa upako atangaza uponyaji wa magonjwa sugu kwa kikombe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa upako atangaza uponyaji wa magonjwa sugu kwa kikombe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Mar 28, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Mwinjilisti maarufu Anthony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako ametangaza kuanza kutoa kikombe kama Mnyakyusa mwenzie Ambilikile Mwasapile afanyavyo kule Loliondo.
  Tiba yake hiyo itaanza rasmi kutolewa kanisani kwake siku ya Jumapili, wote mnakaribishwa na kikombe ni bure, huna haja ya kubeba pesa yoyote
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ila sadaka tutatoa tena kwa mafungu, haya wale wenye elfu kumi kumi kikapu kileee, elfu tano tano hapa, wenye elfu moja na mia tano tano kikapu kile na wale wenye chenji chenji kikapu kile pale pembeni. Haaaaleluyaaaaaa!
   
 3. L

  Leliro Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Where is the source?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Upako, kikombe, ushirikina!
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Makanisa mengi njaa inawasumbua.
   
 6. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This is terrible! Where are we going? Kikombe! Kikombe! Kikombe! kila sehemu. Tuwe chonjo watanzania. Turudi kwenye neno la Mungu maana ndio kweli na ndilo litatuweka huru.
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa... nazjaz hii habari umeipata wapi????:lol::lol:
   
 8. e

  ejogo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tehtehtehteh! baada ya kuona wateja wote wanakwenda kwa babu sasa anaamua kwenda na stail ya babu!!
   
 9. M

  Mzalendoo Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Not sure,tupe source ndg,tusije tukajimwaga huku for gossips.
   
 10. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwisho, this KIKOMBE ideology will make us the laughing stock of Africa! :lol:
   
Loading...