Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
zubeda mbona umeingia mitini .......?
Mmemfanyaje nyie?:lol:
zubeda mbona umeingia mitini .......?
Nchi inakoelekea siko kwenyewe. Mawazo ya watu wengi yana mwelekeo hata kabla ya kupata mawazo ya wengine. Kazi ipo.
che mkapa yuko lushoto anapuliza shisha kwenye bar yake.. Hamna media inayoweza kumfikia ndio maana hasikiki