Kama hoja yako ni kusema yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania aliyosema kikwete?usipende kuamini wanasiasa.Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!

mzee thabit kombo alisema bila muungano hakuna zanzibar! Kuna unguja na pemba! Tuwashangae cuf, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya cuf, naanza kuchukia upinzani!
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
Umemaliza kila kitu sina la kusema.afterall ni nani thabit kombo katika ramani ya historia ya zanzibar? ni mtume? au malaika? ata mzee kullateni alisema zanzibar TUMEKWISHA mara baada kusikia zanzibar imeunganishwa na tanga la nyika. usituletee upuuzi wako hapa. kwani nyi mnawasiwasi gani. si tupotezeeni yaishe nyie mjikate kivyenu na sie tusepe kivyetu.
afterall ni nani thabit kombo katika ramani ya historia ya zanzibar? ni mtume? au malaika?
ata mzee kullateni alisema zanzibar TUMEKWISHA mara baada kusikia zanzibar imeunganishwa na tanga la nyika. usituletee upuuzi wako hapa. kwani nyi mnawasiwasi gani. si tupotezeeni yaishe nyie mjikate kivyenu na sie tusepe kivyetu.
Hata. Hapa ulipo-post ni kwa Hisani ya Tanganyika umeweza kusikika!Tatizo kubwa mkuu wanzibar wengi wanapinga na kukubali muungano hapo hapo!
Hebu niambie,muungano wa mkataba ndio upi?na kwa nin tuungane kwa mkataba?kama hamtaki muungano,basi na iwe hivo..!kama mnataka basi na muungane bila maneno!
Mambo sijui ya kuwa na Balozi nje,kuwa na kiti umoja wa Mataifa,ni mambo ambayo hamuwez kufanya ndani ya muungano!
"tatizo ni hizo hadidu rejea za tume ya katiba, hazitaki kuvunja muungano. ndio tukaja na hili la "mkataba" muungano ni hiari sio kulazimishana, sisi zamani tuliukataa muungano huu na hili vugu vugu kwa huku halikuanza leo, nakushangaeni nyinyi mnalijua leo! sisi ni walimu wenu kwa kila kitu hata siasa, mtatusoma mwaka huu .. umesahau msemo maarufu "lipigwapo zumari zanzibar, wanahemkwa walio maziwa? (when one pipes in zanzibar they dance in the lakes)" ZANZIBAR KWANZA!Hata. Hapa ulipo-post ni kwa Hisani ya Tanganyika umeweza kusikika!Tatizo kubwa mkuu wanzibar wengi wanapinga na kukubali muungano hapo hapo!
Hebu niambie,muungano wa mkataba ndio upi?na kwa nin tuungane kwa mkataba?kama hamtaki muungano,basi na iwe hivo..!kama mnataka basi na muungane bila maneno!
Mambo sijui ya kuwa na Balozi nje,kuwa na kiti umoja wa Mataifa,ni mambo ambayo hamuwez kufanya ndani ya muungano!
tunataka muungano wa mkataba kwa kuwahurumieni nyinyi jirani msobebeka mana tumeskia hamuezi kusurvive bila zanzibar na ndio mana mnatungangania hadi mavumbi yetu.
"tatizo ni hizo hadidu rejea za tume ya katiba, hazitaki kuvunja muungano. ndio tukaja na hili la "mkataba" muungano ni hiari sio kulazimishana, sisi zamani tuliukataa muungano huu na hili vugu vugu kwa huku halikuanza leo, nakushangaeni nyinyi mnalijua leo! sisi ni walimu wenu kwa kila kitu hata siasa, mtatusoma mwaka huu .. umesahau msemo maarufu "lipigwapo zumari zanzibar, wanahemkwa walio maziwa? (when one pipes in zanzibar they dance in the lakes)" ZANZIBAR KWANZA!