Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!