Mzee Sumaye ameponzwa na Kubenea

Fuatilia vizuri taarifa mkuu, kwanini kubenea na Komu waitwa wakajieleze kwenye kamati kuu? Unajua sababu? Jaribu kufuatilia mambo ndani ya Chama chako.
Hahaaaaa
 
Asante mkuu kwa maelezo ya kueleweka Mungu yupo na watu wema waovu huwaadhibu Sumaye,Mwita,komu,kubenea na Lwakatare Mungu hadhihakiwi mtavuna mlichopanda
 
Uchambuzi muruwa huu.....,
 
Kupata ufahamu zaidi, Soma kitabu cha Ujasusi kwa bei ndogo kabisa na halisi ya 80,000 tu popote ulipo

Lipia 80,000 kwa Mpesa au Tigopesa 0715865544/0755865544 (Yericko Nyerere). Kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Utaletewa kitabu popote ulipo. Nje ya dar utalipia nauli 8,000/
Yericko Nyerere
 
Mbowe na kambi yako msiogope mtashinda tu dhidi ya hii kambo ovu!
Vita yao ovu ni ya damu na nyama dhidi ya vita yenu ya silaha za kiroho dhidi ya hao waovu wakisaidiwa na kile chama.
 
Mtajijua na chama la wachaga


State agentView attachment 1280591

Yaonekana wewe ni makabila(tribalistic) wakati wa Tanzania kamwe hawana ukabila!! Watu wenye fikra kama zako hupatwa na magonjwa ya preshia(due to jealousy) na watu kama wewe wapo nchi jirani(Kenya) you might be a distant descendant from that country!!!!! What a shame!!!
 
Chama kingine pliiiiiiz hiki kishakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…