Hili swali nimekuwa nikijiuliza
iweje hawa viongozi wa wasanii wanasubiri mtu afe wanaanza kujianika
na garama nyingi tu huku wakipita nyumba kwanyumba kuomba michango
kwa nini wasiwasaidie watu kama mze small wakiwa wanaumwa
je ataagwa na yeye leaders??mmh nasubiri br aje kusema akak mzee steve
Kafa lini huyu
Hii nikweli,maana nakumbuka aliwahi kutembelewa na kipindi cha TV mwaka jana nakusema kwamba kuna dawa anatakiwa kupatiwa na vipimo pale muhimbili lakini tatizo ni pesa na ndio maana amekuwa ahudhurii tiba kamili an tiba ya mazoezi maalum pale hospitali.
Na kuhusu kutembelewa pia alisema hakuna.
Sasa hawa watu hii michango ya mamilioni mtu akifa inafaida gani sasa.
Nido maana hata wasanii wa Bongofleva wanaona wenzao wa Bongo movi kamakundi la wazinifu na machangudoa na wazee wa dili.
Subiri uwaone kwenye TV wanavyolia na kujiangusha,hovyooo unafiki mtupu
Umekurupuka na viroba vyako vya wk end unajifanya unajua dini za watu mayo zako wewe nani kakwambia muislamu haagwi uliza usiropoke tu kama upo chooni.
Umesahau na miwani kubwa nyeusi...
Hahahahaha,kweli,halafu wanakuwa busy kweli kubeba Jeneza na kufuata kule Camera ilipoelekea
mtu kafa kwa kukosa lishe nzuri na matibabu
halafu msiba wake mtumie bilioni kumzika.......kweli mchawi sio lazima avae kaniki
mtu kafa kwa kukosa lishe nzuri na matibabu
halafu msiba wake mtumie bilioni kumzika.......kweli mchawi sio lazima avae kaniki
Kha.... kuna watu hawajielewiNa wewe kafiri unasemaje umesoma alichoandika huyo kafiri mwenzako soma tena ujue kauliza au kajibu mada nina weeeee