Mzee sitta toka humo kuchafu ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee sitta toka humo kuchafu !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utiyansanga, Jan 18, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa utamaduni wa wengi wetu (hata humu ndani)inahitaji ujasiri kutoa mawazo haya ,lakini kwa kuwa hapa ni mahali huru nitaendelea kusema!
  Nilianza kusikia ufisadi wa EPA wakati wa bunge la bajeti 2007,baada ya Slaa kukuataliwa hoja yake binafsi.
  Sinema ilianza jumamosi ya kwanza baada ya bunge wakati Tido alipoendesha kipindi maalum kuhusu yaliyojiri bungeni ,ndipo siku nilpoanza kumfuatilia Sita.Mzee huyu aliponda ushahidi wa wizi wa EPA kuwa ni wa kittoto uliotoka kwenye internet!Akaeleza kuwa bunge /serikali itachukua hatua.Nilijiuliza maswali mengi hivi kwa mtu mwenye akili za kawaida ni kwa nn haogopi confidence ya SLAA kuhusu issue ile ,baada ya mabo kuwekwa hadharani na kuelezwa mchakato wa wizi huo unajiuliza ni kweli Sita alikuwa hajui !au kuwa tu na fununu za madudu haya!
  Baada ya hapo Mzee akageuka kuwa na kinara wa mapambano !
  Mambo ya DOWANS mzee aliyasimamia ipasavyo lakini namna alivyomaliza ni kizungu mkuti!
  Hapo ndipo ninapoogopa kumwona Sita akipinga malipo ya Dowans{jambo ambalo ni zuri}ila nisichoelewa ni dhamira ya mzee huyu ktk masuala haya .
  Ili kjijengea heshma na kuondoa madoa ktk maamuzi yake naona mzee Sitta waachie uwazir wao kwani inakuwa ngumu kukutofautisha na wenzio mlioko kwenye HILO BWAWA LA MAJI YA KINYESI!
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Aliingia humo ili apambane mumo kwa mumo....washa moto Mzee Six, hata ukitolewa huna la kupoteza, ulijua huo uwaziri ni geresha tu.
   
Loading...