Tatizo kuachana na bi mkubwa na kukamata kisista duu. Hiyo kimaadili inakubalika? Hatari iko hapo wala sio kuzaa na hiyo miss Tanzania mstaafu mwenye umri sawa na binti yake.
Mambo binafsi hayanihusu na hili ni dua la kuku mwewe aangalii! Hata mimi kumbi kumbi akiingia mdomoni namtafuna maana ni watamu sana!
Hivi mleta mada kama ungekuwa na uwezo na binti huyo akakutokea kwa njia yoyote km kutega, nk. ungemkataa. Hacha wivu wa kike mzee wa watu hana kosa hata kidogo.
acheni mzee a enjoy bana kafanya kazi za kutosha husaidia watu,basi vyema atengeneze wa kumridhi kwani mutie (rodney)hatunae tena .
Big up pdg mengi bravoooooo