Mzee Mwinyimvua is no more

mahali stahili


Ameen ALLAH huma ameen. Ameen Shifaa'eh Ameen! AMEEN THUMMA AMEEN
 
kila kitu na wakati wake. Mungu ndie ajuaye maisha yetu kikubwa tuliobaki tujisahihishe maana usemapo kuna amani ndio uharibifu ukujiapo. tukeshe tukiomba kazi ya Mungu haina makosa leo kwa kesho kwetu
 
:A S 103::biggrin1::dance:

Sasa mishahara itapandishwa,.....wameenda kutuombea kuzimu!
 
Ghosh!!!!:mod: Hiyo ni ishara tosha coz 3 people at a time LOH! jIBRILI anazungukia jiarani na nyumba nyeupe!!! :smow:Let them rest in peace not in pieces!

GOD"S CASE NO APPEAL,JUST THE WAY IT IS!!!!!!!!
Kwenye red, tayari keshaondoka na walinzi wote kwa hiyo nyumba nyeupe haina ulinzi! waliomo ndani watapona kweli?
 
Siku zote wazee ni kisima cha busara ndani ya jamii!
wazee ni kisima cha busara but hawa wa dar es salaam ni kisima cha unafiki....walikuwa wanatumiwa kwa maslahi ya watu..hawa ni wazee njaa wakivishwa mavazi ya kijani basi wanasahau kabisa utu wao...
 
Naona MWENYEZI MUNGU ameanza kutekeleza operation VUA GAMBA!! na leo kaaza na wazee!!! Ongeza spidi uje na kwa wazee wa kati aka vijana wa zamani.


Mkuu Avatar yako inanichanganya na Mkuu Gembe au inaruhusiwa Avatar moja zaidi ya watu wawili

BTW RIP
 
Yeye ametangulia nasi tutafuata, m'mungu awaondolee huzuni na kuwapa faraja wafiwa na ailaze roho yake mahali pema peponi - ameen
 
mwenyezimungu azilaze roho za marehemu mahala pema pepon ,
 
Matukio yanafuatana mabaya yote Mkama naye amekosa watu viwanja vya Mukendo Musoma :dance:
 
Duuh, nako huku tena??????????

Jamani huko Ikulu yetu Magogoni kutakua kuko salama kweli hadi sasa kwa mtaji wa hawa makamanda wawili (Wazee MwinyiMvua na Yahaya Hussein) wa propaganda za udidimizaji wa CCM kuitwa kwao kimya kimya na muumba wao?????????????

Haya basi na wewe Mzee MwinyiMvua Rest in Peace!!!!!!!!!!!!!
 
Yesu wangu!!!!!!!!!!

Hivi ndani ya CCM kuna balaa gani hii tena, mbona kila kitu ni mparaganyiko tu. Mara kadundwa mtu, mara makanda wa propaganda za udidimizaji walalahoi Tanzania waondoka kinyemela ahera, mara nako huku mzee NdiaMukama naye akimbiwa na wasikilizaji kwenye mkutano wa siasa huko mkoa wa Mara kutokana na siasa zake za miaka ya 47 wa tangu kuundwa kwa Chuo Cha CCM Kigambo.

Ama kweli mwaka wa balaa ni balaa tu mtindo mmoja na miti yooooooooooote porini kuonekana kuteleza kwa Chama Cha Magamba nchini!!!!!!!!!!!!!

Matukio yanafuatana mabaya yote Mkama naye amekosa watu viwanja vya Mukendo Musoma :dance:
 
Hapana mkuu usiogope, mwezi huu wa 5 mungu ameamuwa kuwaondoa pepo wachafu wote, kumbuka alianzia kule Pakistan kwa yule muhimili wa uovu.

Amen...
awafutilie mbali kabisa na waliobaki pale ....

.....
 

Tukumbuke sheikh Yahya alitabiri kuwa mwezi wa tano kutatokea vifo ya wanasiasa na mwandishi maarufu nafiki utabiri umetimia kwa kifo chake na cha mzee mwinyimvua tusubkiri mwandishi maarufu. mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu peponi Amin.
 
misho wa dunia nini? mbona watu wanaondoka hivi
mwisho wa dunia bado...lakini kila mutu ataondoka kwa siku yake!
vifo havikuanza leo,wala jana mkuu.
Tujitahidi kuwa waadilifu...kifo ni njia ya wote.kila kilichozaliwa kitakufa!
Hata sayansi mpaka sasa imegonga ukuta,inapotafiti "kifo".

Je kifo ndio mwisho wa safari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…