Kinoamiguu JF-Expert Member Nov 29, 2018 10,526 13,015 Oct 14, 2019 #1 Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli. Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote. Chanzo: ITV
Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli. Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote. Chanzo: ITV
ki2c JF-Expert Member Jan 17, 2016 7,089 13,015 Oct 14, 2019 #2 Yawezekana anafanya yote hayo ili aje ashuhudie Mwinyi jr. akishika hatamu.
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,135 Oct 14, 2019 #3 Hekima ya mzee hiyo. Anajua kumtumikia kafiri uupate mradi wako. Ana mtu wake anayezihitaji fadhila
Mokaze JF-Expert Member Aug 3, 2018 14,375 14,870 Oct 14, 2019 #4 I suppose he is paving the way for his son.
technically JF-Expert Member Jul 3, 2016 11,975 48,843 Oct 14, 2019 #5 "Urais Wa Mwanae 2025 Ndio Mzee Anaulinda" Anyway Sisi Wananchi Ndio Tunaona Utendaji Wake Kwamba Una Mapungufu Sio Rais Mstaafu Anayesubiri Kusainiwa Docment Na Jiwe Ndio Apate Pesa Lazima Awe Mnafiki"
"Urais Wa Mwanae 2025 Ndio Mzee Anaulinda" Anyway Sisi Wananchi Ndio Tunaona Utendaji Wake Kwamba Una Mapungufu Sio Rais Mstaafu Anayesubiri Kusainiwa Docment Na Jiwe Ndio Apate Pesa Lazima Awe Mnafiki"
M magu2016 JF-Expert Member Oct 8, 2017 8,033 7,104 Oct 14, 2019 #7 Kinoamiguu said: Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli. Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote. Chanzo: ITV Click to expand... Ndiyo! Si ameshasema!!?
Kinoamiguu said: Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli. Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote. Chanzo: ITV Click to expand... Ndiyo! Si ameshasema!!?
M magu2016 JF-Expert Member Oct 8, 2017 8,033 7,104 Oct 14, 2019 #8 technically said: Ila Magufuli Ni Rais Wa Hovyo Sana Kukejeli Wazee.. Ccm Kingekuwa Chama Makini Wangekuwa Washaitisha Vikao Vya Maadili Kumuonya Jamaa. Click to expand... Nenda huko na Saccos yako. Umeshindwa kumkemea Mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe ya CCM utayaweza?
technically said: Ila Magufuli Ni Rais Wa Hovyo Sana Kukejeli Wazee.. Ccm Kingekuwa Chama Makini Wangekuwa Washaitisha Vikao Vya Maadili Kumuonya Jamaa. Click to expand... Nenda huko na Saccos yako. Umeshindwa kumkemea Mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe ya CCM utayaweza?
M Mkirindi JF-Expert Member Mar 2, 2011 6,750 4,958 Oct 14, 2019 #9 Jamani mvumilieni, umri una shida zake.
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,639 61,068 Oct 14, 2019 #10 Mtumikie..... Upate ujira wako Mzee Mwinyi unaweza ukamkanyaga Halafu Yeye ndie akakuomba radhi kwa kumkanyaga Kufanya Kazi na Bosi wa ‘Kihaya ‘ na kum win ni kazi rahisi sana ....
Mtumikie..... Upate ujira wako Mzee Mwinyi unaweza ukamkanyaga Halafu Yeye ndie akakuomba radhi kwa kumkanyaga Kufanya Kazi na Bosi wa ‘Kihaya ‘ na kum win ni kazi rahisi sana ....
herzegovina JF-Expert Member Oct 28, 2015 3,129 4,712 Oct 14, 2019 #11 technically said: Ila Magufuli Ni Rais Wa Hovyo Sana Kukejeli Wazee.. Ccm Kingekuwa Chama Makini Wangekuwa Washaitisha Vikao Vya Maadili Kumuonya Jamaa. Click to expand... Na hicho kikao Cha kumuonya, yeye ndiye mwenyekiti wa kikao.
technically said: Ila Magufuli Ni Rais Wa Hovyo Sana Kukejeli Wazee.. Ccm Kingekuwa Chama Makini Wangekuwa Washaitisha Vikao Vya Maadili Kumuonya Jamaa. Click to expand... Na hicho kikao Cha kumuonya, yeye ndiye mwenyekiti wa kikao.