Mzee Mwinyi hata nawe unakiri hujafanya lolote katika awamu yako?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,441
12,862
Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli.

Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote.

Chanzo: ITV
 
"Urais Wa Mwanae 2025 Ndio Mzee Anaulinda"

Anyway Sisi Wananchi Ndio Tunaona Utendaji Wake Kwamba Una Mapungufu Sio Rais Mstaafu Anayesubiri Kusainiwa Docment Na Jiwe Ndio Apate Pesa Lazima Awe Mnafiki"
 
Mzee Mwinyi amekiri kwamba Rais aliyepo madarakani anayatekeleza kwa vitendo maagizo ya mwalimu kuliko awamu yoyote hapa nchini kweli.

Mzee anakiri kwamba yeye hajafanya lolote.

Chanzo: ITV
Ndiyo! Si ameshasema!!?
 
Ila Magufuli Ni Rais Wa Hovyo Sana Kukejeli Wazee..

Ccm Kingekuwa Chama Makini Wangekuwa Washaitisha Vikao Vya Maadili Kumuonya Jamaa.
Nenda huko na Saccos yako. Umeshindwa kumkemea Mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe ya CCM utayaweza?
 
Mtumikie..... Upate ujira wako


Mzee Mwinyi unaweza ukamkanyaga Halafu Yeye ndie akakuomba radhi kwa kumkanyaga

Kufanya Kazi na Bosi wa ‘Kihaya ‘ na kum win ni kazi rahisi sana ....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom