nakubaliana na wewe, lakini katika nchi ambayo hakuna haki za binadamu, watu wanauawa, wanatupwa baharini, watu wanapigwa risasi, watu wanabambikiwa kesi, rais anatumia pesa bila idhini ya bunge, mahakama hazina uhuru..hakuna haki mahakamani and the like, utaonekana kituko kama ukiacha kuyadokeza haya na hilo lako ukaliunganisha.