Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nimecheka sanaHuyu Mkapa aache unafki. Yeye ndio mentor wa malaika halafu anataka kujitenga na matakataka ya jiwe.
nakubaliana na wewe, lakini katika nchi ambayo hakuna haki za binadamu, watu wanauawa, wanatupwa baharini, watu wanapigwa risasi, watu wanabambikiwa kesi, rais anatumia pesa bila idhini ya bunge, mahakama hazina uhuru..hakuna haki mahakamani and the like, utaonekana kituko kama ukiacha kuyadokeza haya na hilo lako ukaliunganisha.
perfect, very perfect. You have a solid point. LKN those who crossed the floor could have reveal the information, but as you have said it, such information can not be discussed there!Sawa kabisa lakini siyo jambo rahisi kwa mfano, hayo kuzungumzwa kwenye kikao kama kile kilichoshirikisha viongozi waliohamia upande mwingine. Sana sana ikibidi hayo yazungumzwe, kwa hakika mazungumzo hayo yatafanyika kwa usiri mkubwa sana. Na hata kama yamezungumzwa kwenye kikao kile, usitarajie kabisa tbc wakuwekee kwenye video yao!