Mzee Mhina hatuko naye tena

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Mzee Mhina , Mwenyekiti wa wazazi Taifa (CCM) amefariki.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amin.
 
Bwana ametoa na Bwana ametwa jina la Bwana lihimidiwe. Amina
 
R.I.P Mzee Mhina, punzika kwa amani!
 
Apumzishwe mahali pema

Mahali pema ni pa watakatifu pekee! ukiwa ccm umejitenga na utakatifu, mzee wetu apumzike kwa amani na mungu ampe stahiki yake sawa sawa na mapenzi yake, namaanisha mapenzi ya mungu
 
Mzee Mhina , Mwenyekiti wa wazazi Taifa (CCM) amefariki.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amin.

Poleni wafiwa. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!!. Kicheba pole sana!
 
kheee huyu alimpiga fitna sana mkono ashindwe kuchukua kiti hiki...haya uchaguzi huoooo ndani ya jumuiya hii ya ccm...pumzika mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…