Mzee mangula umevaa nn sasa?

Watz mungu atusaidie tu... Angevaa vizuri wasingekawia kusema fisadi, mzee katoka ki old school nayo tena mnamponda
 
Mzee huyu ndo alimmaliza kabisa yule jamaa yeetu maana pale Sheikh Amri Abeid alimkebehi pasipo sababu
 
Bbgjjfjjwfjdjkskkejdjjjjkjjlkjkn eurjdwjdhehejiehryfiteieA dxssqodzns z. MZmddmncblpmpz
 
mkulima wa viazi huyu ..hana muda wa kujiremba ..sasa kali avue hizo raba kwenye kikao
 
Daah Watanzania siwaelewagi kwa kweli mtu akivaa vizuri hamkosi maneno mlitaka avae bukta ndo mridhike?
 
Ila shati limemzidi vyote... kimo na umri... hakulivaa, limemvaa...
 
ongeeni yote ila UKAWA sijui ushuzi gani mtakaa tu mwaka huu 2015 pale Oktoba 25, jembe la safari hii si mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…