SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mwanasiasa huyu mkongwe hapa TZ alionekana (Pichani) kituko kutokana mavazi aliyovaa siku Viongoz wa vyama vya Siasa walipoenda kuonana na Rais Ikulu, Duuh hata kama upo bize ndo uvae RABA na shati la maua maua jamani hata mkeo hakukuona wakati umetoka home tena unaenda State House punguzen ukale jamani!!
Alispesholaizi kwenye mawingu, kwa hiyo picha za mawingu huwa zinam-motivate kumwaga point :smile-big:
mwanzo niliona hilo gauni tu... kumbe na chini kavaa NYUMU kama anaenda kupiga ndondo temeke.
Ushauri wa mke wake mpya aliye oa juzi.
Amevaa kama wakulima wa kijijini. CCM inafanana na wakulima wa vijiijni. Wengine wamevaa kama wakurugenzi wa makampuni makubwa.