Mzee Makamba: Kama mzigo mzito Mkwere aliuweza Mzanzibari utamshindaje? Mama Samia chapa kazi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dar es salaam na Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba amesema zamani tulikuwa tunasema mzigo mzito mpe Mnyamwezi.

Makamba amesema alimtumia ujumbe Rais Samia kupitia wasaidizi wake akimwambia mzigo mzito Mkwere aliubeba sasa kama Mkwere aliubeba na kuuweza Utamshindaje Mzanzibar?!!!

Mzee Makamba amemtaka Rais Samia achape kazi.

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Dah miaka 6 nyuma ilikuwa michungu sana kwa hawa wazee!!, Eti chama kikawa kinasemewa na akina

Musiba
Makonda
Sabaya
Yehodaya
Elitwege
Kipara kipya
Changu wa malunde!!

Haya wenye chama haooooo nyie rudini vijijini mkapalilie uwanja wa Burigi Airport.
 
Mzee Makamba,Kikwete na Kinana walipigana sana kwenye chaguzi na CCM kushinda lakini hawakuwa wazuri sana kujenga chama kiwe imara na kuheshimika ndani na nje ya chama ikafikia hadi wana CCM kuzomewa mabarabarani kwa kuvaa nguo za CCM sababu CCM yenyewe ilijaa mafisadi kibao wasio na haya wala woga kuiba mali za Chama ,au kuwa mifisadi seikalini ikasumbua mno.Magufuli akaingia accidentally kama President sababu ndani ya chama viongozi waliwaza tu chukua chako mapema usizubae na Serikalini hivyo hivyo na upinzani ukawa strong sana kufichua maovu yao ukiongozwa na Dk Slaa

Ndio maana vikao vya kutafuta nani awe Raisi 2015 Kikwete alizomewa na kundi lake lililokuwa chini ya ya viongozi au washauri whatever akina Kinana ,Makamba ,Nape ,membe nk watu wakamba tuna imani na Lowasa!!! Ilikuwa first time mwenyekiti wa CCM ku loose control ya kikao cha chama!!!

Anyway mama usicheze na chama huko kunatakiwa kuwe strong sio utani Ulikuwepo kipindi cha 2015 kutafuta mgombea uraisi CCM ilichokwa ndani na nje ikasababisha ile aibu kubwa aliyokutana nayo Kikwete isijeb ikakukuta wewe

Magufuli kwa kujua hilo alihagangaika sana kuhakikisha chama kinakuwa strong na heshima inarudi na ufisadi ndani ya chama unakoma na serikalini unapungua.Kwenye chama aliweza sana serikalini changamoto

Magufuli kafa lakini kaacha mali za CCM ziko salama nyingi kwa asilimia kubwa na Mapato ya chama yako juu sana kuliko hiyo kikundi fisadi ndani ya chama alikutana 2015

Timu mpya unaunda ndani ya chama isiwe ya kupigania kufa na kuona CCM ishinde wakati wa uchaguzi tu huku kukiwa na mifisadi na mijizi ndani ya Chama isiyo na haya inayogombea na kulipa chama wakati mgumu kujitetea mbele ya wananchi

Chama ni msimamizi wa Serikali credibility ya viongozi wa Chama inatakiwa kuwa juu mno Sio unafika uchaguzi kazi kubwa inakuwa utetezi tu wa mijizi na mifisadi isiyo na haya
CCM isifanye tu kazi ya kujitetea iwe clean continually
 
Hivi Mzee Makamba naye alipewa U GS wa CCM kwa kukariri mistari ya biblia!!!?
Huyu kweli ni wa kukaa kundi moja na Kawawa, Msekwa, Gama, Kolimba, Mukama, Kinana at all!!???
 
Dah miaka 6 nyuma ilikuwa michungu sana kwa hawa wazee!!, Eti chama kikawa kinasemewa na akina

Musiba
Makonda
Sabaya
Yehodaya
Elitwege
Kipara kipya
Changu wa malunde!!

Haya wenye chama haooooo nyie rudini vijijini mkapalilie uwanja wa Burigi Airport.
😀😀😀😀😀😀 naona umeniweka hapo
 
Mimi naona tofauti, kama mkwere aliuweza basi huo mzigo haukuwa mzito ndio maana na mzanzibari nae licha ya kushindia urojo atauweza pia.
 
Watu wameulizwa swali, kama siku hizi mnalamba asali ama la! Hii mbona haiandikwi, au kalishwa maneno.
 
Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dar es salaam na Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba amesema zamani tulikuwa tunasema mzigo mzito mpe Mnyamwezi.

Makamba amesema alimtumia ujumbe Rais Samia kupitia wasaidizi wake akimwambia mzigo mzito Mkwere aliubeba sasa kama Mkwere aliubeba na kuuweza Utamshindaje Mzanzibar?!!!

Mzee Makamba amemtaka Rais Samia achape kazi.

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
"Zamani tulikuwa tunasema mzigo mzito....wape wanyamwezi" is condescending. "Msimango"Period.

Hayo ni maneno ya Waarabu na sio maneno ya Waafrika wenzao. Period

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya "Watanzania uchwara" kama huyo mzee na wale wote na nasema wale wote wanaodai "Sukuma gang" wanasimanga. Lengo ni kudumaza na ni lazima wapigwe vita.

Pathetic. Mzee kama huyo kuwa na ufikiri wa Utwana.
 
Hivi Mzee Makamba naye alipewa U GS wa CCM kwa kukariri mistari ya biblia!!!?
Huyu kweli ni wa kukaa kundi moja na Kawawa, Msekwa, Gama, Kolimba, Mukama, Kinana at all!!???

Mzee Makamba ni “mjanja mjanja “ anayesoma upepo wapi fursa iko” na kuchagiza na maneno yake ya shombo ..ila anajua kuwa win watawala! Na kimsingi hana cha kupoteza as kijana wake ameshawekwa “pazuri”!
 
Mzee Makamba,Kikwete na Kinana walipigana sana kwenye chaguzi na CCM kushinda lakini hawakuwa wazuri sana kujenga chama kiwe imara na kuheshimika ndani na nje ya chama ikafikia hadi wana CCM kuzomewa mabarabarani kwa kuvaa nguo za CCM sababu CCM yenyewe ilijaa mafisadi kibao wasio na haya wala woga kuiba mali za Chama ,au kuwa mifisadi seikalini ikasumbua mno.Magufuli akaingia accidentally kama President sababu ndani ya chama viongozi waliwaza tu chukua chako mapema usizubae na Serikalini hivyo hivyo na upinzani ukawa strong sana kufichua maovu yao ukiongozwa na Dk Slaa

Ndio maana vikao vya kutafuta nani awe Raisi 2015 Kikwete alizomewa na kundi lake lililokuwa chini ya ya viongozi au washauri whatever akina Kinana ,Makamba ,Nape ,membe nk watu wakaimbia tuna imani na Lowasa!!! Ilikuwa fisrt time mwenyekiti wa CCM ku loose control ya kikao cha chama

Anyway mama usicheze na chama huko kunatakiwa kuwe strong sio utani Ulikuwepo kipindi cha 2015 kutafuta mgombea uraisi CCM ilichokwa ndani na nje ikasababisha ile aibu kubwa aliyokutana nayo Kikwete ikakukuta wewe

Magufuli kwa kujua hilo alihagangaika sana kuhakikisha chama kinakuwa strong na heshima inarudi na ufisadi ndani ya chama unakoma na serikalini unapungua.Kwenye chama aliweza sana serikalini changamoto

Magufuli kafa lakini kaacha mali za CCM ziko salama nyingi kwa asilimia kubwa na Mapato ya chama yako juu sana kuliko hiyo kikundi fisadi ndani ya chama alikutana 2015

Timu mpya unaunda ndani ya chama isiwe ya kupigania kufa na kuona CCM ishinde wakati wa uchaguzi tu huku kukiwa na mifisadi na mijizi ndani ya Chama isiyo na haya inayogombea

Chama ni msimamizi wa Serikali credibility ya viongozi wa Chama inatakiwa kuwa juu mno Sio unafika uchaguzi kazi kubwa inakuwa utetezi tu wa mijizi na mifisadi isiyo na haya
CCM isifanye tu kazi ya kujitetea iwe clean continually
Kwa hiyo kununua wale mamluki wa Cdm ndio ilikuwa kujenga chama?
 
Back
Top Bottom