Lugha uliyotumia hapa usitegemee kukutana na jibu la kitaalam,kwanza heading ya uzi haieleweki kisha humo katikati ya sentence umechanganya herufi za kihuni kama doxi.
Rekebisha ulichokiandika hakuna doctor atapasuka kichwa kutafuta maana ya neno uliloandika hali ya kuwa humlipi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk