ATUSAIDIE TU KAMA MDAU WA MAENDELEO.MAANA TULIMCHAGUA NA BADO TUNAMWITA RAIS HUKU MBEYA
Mko wangapi?ATUSAIDIE TU KAMA MDAU WA MAENDELEO...
za wakati huu binam yanguAtakusaidia tu mkuu....Lowasa huwa hana hiyana...Ni mtu mnyenyekevu...mwenye hekima na mwadilifu.....pia ni mtu mcha Mungu
Kwa hiyo hamjajiorodhesha? Wenzenu wanaoomba msaada huwa wanapanga mstariANGALIA TULIOMPIGIA KURA JIMBO LA SUGU.
salama sana binamu...uko vizuri?za wakati huu binam yangu
Kanyweni viroba maana ndio mwisho wenu wa kufikiriANGALIA TULIOMPIGIA KURA JIMBO LA SUGU.
Kwenu ni Dodoma? Maana ndio zenu hizo. Kutembeza bakuli mnaona nio kazi yenye ujikoATUSAIDIE TU KAMA MDAU WA MAENDELEO.MAANA TULIMCHAGUA NA BADO TUNAMWITA RAIS HUKU MBEYA
TUSUPPORT WANANCHI WAO TULIKUPIGIA KURA INGAWA KURA HAZIKUTOSHA.SAIDIA ELIMU BURE YA SERIKALI.
Sijambo umeamkaje we we?salama sana binamu...uko vizuri?
TUSUPPORT WANANCHI WAO TULIKUPIGIA KURA INGAWA KURA HAZIKUTOSHA.SAIDIA ELIMU BURE YA SERIKALI.
Mbona mnawashwa sana na hili jina Lowassa? Inaelekea linawanyima usingizi wengi. Matajiri walio mchangia unawaojuwa ww ni akina nani? Kwa Rais au mawaziri wake wasiwaeende wao kama wao kuwaomba? Ufahamu wako bado ni Mdogo sana na inaelekea kabila lako utakuwa mgogo kwa kuwa umezoea kuomba omba mkuu.