johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,409
Mifano kwa CCM iko wazi akiingia Mwenyekiti Mpya anaanza Kusafisha Sekretarieti ya Chama na kuingiza Jamaa na Rafiki zake kadhalika Chadema itakuwa hivyo
Sasa wale wanaolisha na kusomesha watoto kupitia Ruzuku ya Chadema wanaona Mbowe akistaafu na wao hawana maisha
Hawa ndio wanamng'ang'aniza na kumdanganya Freeman aendelee kung'ang'ania madaraka
Kwa Siasa za sasa Mbowe kafika kikomo cha maono yake na Ubunifu, aheshimiwe aachwe apumzike
Ubunifu wa Mbowe uliishia pale alipomkaribisha Lowassa Chadema 2015 na kisha CCM ya akina Sadifa wakabeba Falsafa ya Chadema ya kupinga ufisadi na kutumia wao kwenye Kampeni
Mbowe alijua Kabisa kwa Mfumo wa Tanzania Lowassa Hata angepata 80% ya kura asingetangazwa lakini akaingia cha kike na kilichofuatia ni Lowassa kuondoka na Wabunge kibao na Chadema kupoteza Mvuto kwa Wananchi
Tunaipenda Chadema na tunaomba Makalla asiisambaratishe
Ahsanteni sana ๐๐ฅ