Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

Kwahiyo unamaanisha kuwa CCM ni kichaka cha kujifichia wezi, mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma sio? Yaani akikaa CHADEMA atashtakiwa, akirudi CCM ataachwa.. Shame on you..
 
CCM gani wakati itakuwa imeishasambaratika? hujui kuwa hata KANU haipo?
 
Kuichagua ccm ni Wendawazimu.sitaki kulaaniwa na vizazi vijavyo kwa kuichagua ccm.habari ya baraka ni UKAWA na LOWASA.
 
Bangi nyingine bwana, haya kachukue posho zako Lumumba.

Hahaha Naona sasa ukiwa maneno yanawaishia mnabaki kutapatapa tu kama mfa maji,shule inahitajika sana kwa wanachama wa chadema maana mnafata mkumbo tu kwa kutokutafakari kwa makini kwamba huyu ninaeshindana nae ana nguvu kiasi gani na je ana wanachama kiasi gani?
Ngoja nikujuze kitu kikatiba kila tawi la chama linatakiwa kua na wanachama wasiopungua 50 na CCM inamatawi zaid ya 1,160000 hiyo ni sawa na wanachama mil 10.16 na idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura wako mil 24.3 sasa unafikili hapo ccm utaishindia wapi
 

Magufulii atampeleka nani ikulu?wacha ndoto za alinacha hapa
 
Lowasa.. Ndiye Rais ajaye.. Jifariji tu na akili zako ndogo Za kutumiwa. LOWASA hawez kukubal kutumiwa kama njia yakumpa ushindi. Magufuli... Yeye mwenyew anautak urais na watanzania wanaobadilika wamesema Yes
 
Arudi kufanya nini? CCM hatutaki tena makapi na mafisadi kama lowassa atuachie CCM yetu safiii izidi kukata mawimbi pande zote za tanzania CCM ya MAGUFULI ni ya mabadiliko na mafisadi wajiandae tu kuburuzwa mahakamani
 
Kwa hiyo unatuaminisha nini? Unataka kutuambia mwizi akiwa CCM yupo salama? Propaganda zingine unapaswa kutafakari kabla ya kuipost maana. Inakudhalilisha badala ya kumbomoa unayemlenga

Kumbe mwizi bwana,
 

Hoja yako sijaona mantiki yake mkuu mwl nyerere alisema mabadiliko ya kweli utayapata Ndani ya CCM na sikwingineko Lowassa hawezi kureta m,abadiliko yoyote ndani ya nchi hii maana tayar yeye ni mwizi na fisadi leo ataweza vip kupigania haki za wanyonge miaka yote alikua waziri mkuu amefanya nini zidi ya kulitia hasra taifa letu mwaka huu ndio nguvu ya chadema inakufa na mtabaki kulaumiana milele rais wetu ni magufuli tu no one else
 
Weeeee fungua shule unafaa kuwa mwalimu....ila kidole chako ni chepesi!Mweee ushamtia kidole mdomoni kwa kuandika ndivyosivyo??si magamba mwenziyo anweweseka??

Kiswahili ni lugha ya Taifa.
 

Hata kama ni ni nyenge hizi zimezidi jamani. Andika basi kama mwelewa mkuu. Edward anakutesa mno, nakushauri uangalie usije ukamwita mumeo Edward maana hutaeleweka.
 
Mchumia tumbo katika ubora wako wa kupayuka
 
^^^M^^^A^^^G^^^U^^^F^^^U^^^L^^ ^I^^^^©2015 Ven conmingo si quieres vivir °°°°°°°°°°°°
°°°°°°°°°°° magufuli si la presidente en la
Tanzaniano.
Grac-ous..... >^^^^^>>>^^^^^>>^^^^^>>>^^^^^^
>>>>>^^^^^^
#HaPaKaZiTu
Imejipost
 
SASA Hivi j
ukiskia LOWASAAAA
UNAJIBU
-UNJA KUFULI
-VUNJA KITASA
-FUNGUA MLANGO
MWAGA POMBE YOTEEE
 
Hakuna alichosahau huko.labda manyanyaso!
 
Lakin si mbaya kula ccm kulala UKAWA.. Kuna watu wako huko kwa masilahi ya kuchota na kula huko tu lakin wanalala UKAWA...haya, time will tell, not so long!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…