Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.
Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.

Hao wadadizi wako wa masuala ya kisiasa sijui wamekula maharage ya wapi?Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.
Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.
Huyo atakuwa amevuta bangi ya Njombe ambayo Makinda alisema sio kali!Bangi nyingine bwana, haya kachukue posho zako Lumumba.
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.
Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.
ujinga eti siasa bana
asikudanganye mtu mwaka huu ndio tumeingia ktk upinzani wa kweli soma historia ya kenya..malawi..zambia..nigeria...botswana nk pia mwalimu nyerere hakuwa mungu pale aliposema upinzan wa kweli utatoka chama tawala kwn alijua jinsi ccm ilivyopenyesha mamluki ktk vyama na kwamba siku ccm ikipasuka ndipo upinzani utakuwa wa kweli na mwaka huu ndio imetimia
Weeeee fungua shule unafaa kuwa mwalimu....ila kidole chako ni chepesi!Mweee ushamtia kidole mdomoni kwa kuandika ndivyosivyo??si magamba mwenziyo anweweseka??= kutabiri
Kumbe ile habari ya choo na chumba ni kweli.
Yaani akimbie choo na kuja chumbani alafu arudi tena chooni.Atakuwa na roho ngumu. Anyway umesomeka kuwa CCM ni chaka la Mafisadi na walioko Upinzani ni Malofa.