Mzee Kipara amekufa

Mzee Kipara amekufa

Status
Not open for further replies.

Edwin Chapa

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
54
Reaction score
12
Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
 
bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. rest in peace
 
Wasanii wa bongo walivyo kuwa wanafiki wataenda kwenye msiba na mazishi ya mzee huyu kwa mbwembwe nyingi wakati hawakuonyesha upendo na ukaribu wakati wa kuugua kwake.
Puuumbaaaaavuuuu.
 
Mwenyezimungu amrehehemu.Kwakweli alichangia kwa kiasi kikubwa kuinua sanaa ya kuigiza.
 
badilisha title hapo kwenye amekufa isomeke amefariki
 
Mzee Kipara wa Kaole amesema yeye ni mzima, anaumwa mguu. Updated 8.40pm
 
Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
Habari hii ni uwongo, Milad kamuhoji mmoja wa wasanii kakanusha na mzee kiongea kuwa anasumbuliwa na mguu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom