Mzee Kikwete: Tunaumaliza mwaka 2022 wananchi wakiwa na furaha, nakupongeza Majizo kwa kuchukua hatua kila inapotokea changamoto!

Sawa ila mimi nina machozi sina hata mia
kuna wenzetu wana mabilioni na wanaweza kwenda Hospital yoyote Duniani lakini wamefunga kauli hata maji hayapiti

yaan kuna changamoto nyingi kwny hii Dunia japo kwa sie maskini ukiwa na Afya Timamu ukakosa pesa ya fegi unajiona kama ndio mwenye huzuni kuu

njia rahisi ya kujifariji unapokuwa na changamoto ni kukumbuka neema ulizonazo

kidole cha mguu kikivimba, kumbuka kuna mwenzio ha na kabisa

ukipigwa kofi na Mumeo kumbuka kuna mwenzio alichinjwa kabisa

ukigongewa Mkeo kumbuka kuna akina Bilionea Msuya waliuawa kwa mikakati iliyoratibiwa na Mkewe kabisa
 
Kadhalika mzee Kikwete amemtambulisha mh Majizo ambaye ni mmiliki wa E FM radio na TV ambaye alikuwa MC.

Ndiyo maana

 
Kikwete amempongeza Majizo kwa namna anavyoongoza Taasisi yake na Jinsi anavyochukua hatua kwa haraka zinapotokea Changamoto.
 

Hivi wananchi tumemwambia Kikwete wapi na lini kwamba tunamaliza mwaka tukiwa na furaha? Hatuna umeme wa uhakika, hakuna maji,, ghalama ya maisha imepanda, rushwa ofisi za umma imerudi, Elimu mbovu kwa wanetu,wapinzani wa kutusemea mmewaziba midomo, madai ya watumishi hayalipwi. Mambo yamerudi kama enzi za utawala wake. Hiyo furaha tunaiata wapi?. Riz wake akimaliza mwaka kwa furaha basi kwake wananchi Wana furaha. Riz alivyobana awamu 5 wananchi hatukuwa na furaha.
 
Huyu kenge anaogopa sana wabongo wakijua ukweli,kama maendeleo yapo,jibuni kwa hoja,sio vitisho na propaganda kibao,kwenye Siasa Kuna kitu kinaitwa,MEPS,"manufactured events for politicals purpose"
Visherehe Sherehe vingi vinafanywa Ili kumpongeza Rais,ndio ccm wanachojua siku Hz,utamsikia kapu la mama,Samia scoral ship,na upuuzi mwingine mwingi
 
Hii ndio furaha yenu sisi tinalamba ashali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…