Kijiji cha Msoga chauzindua mwaka mpya wa 2022 kwa sherehe kabambe. Mzee Kikwete ahudhuria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,001
Taarifa zinaonyesha kwamba Sherehe hizo Kabambe za kuukaribisha Mwaka mpya zimesimamiwa na EFM na TV E chini ya Uratibu wa mzee wa Scratch DJ MAJIZO, ambapo Mgeni Rasmi ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.


Rais_Mstaafu_Dkt_Jakaya_Kikwete_akiwa_na_Mkurugenzi_wa_Redio_EFM_na_TVE_Francis_Cizza(Majizzo)...jpg


Nawatakia kila la heri wote wanaoruka majoka hapo Msoga.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba Sherehe hizo Kabambe za kuukaribisha Mwaka mpya zimesimamiwa na EFM na TV E chinivya Uratibu wa mzee wa Scratch DJ MAJIZO , ambapo Mgeni Rasmi ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete .


View attachment 2082815

Nawatakia kila la heri wote wanaoruka majoka hapo Msoga .
Mungu ambariki sana Rais wetu JK aishi maisha marefu aone vilembwe wake 🙏
 
Back
Top Bottom