Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,546
Reaction score
14,801
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
 
Naona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
 
Hivi na kwa Ndugulile alilitumikia taifa kwa uaminifu hivi?

IMG_20250823_151128.jpg
 
Hivi na kwa Ndugulile alilitumikia taifa kwa uaminifu hivi?

View attachment 3452302
Hiyo ni juu yenu,mkitaka kusuka au kunyoa sisi haituhusu.

Mlidhani Samia anaweza kuacha kumtumia Kikwete kwa kuwa nyinyi mtachukia? Au mlitaka Kikwete amsusie nchi Samia kama mstaafu akiombwa ushauri ili mambo yamwendee kombo kisha mpate la kumwangusha nalo?

Mtasubiri sana.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.

Jizi , fisadi Papa. Hiki kinyamkera kinakuja shabia kwa misingi ya kidini. Chenyewe kinafuga ndevu, kikivaa na dera au kipedal pusha basi kimemaliza. Mwenzio kikwete anaaiba anasaidia familia yake. Wewe unavaa kobazi zimechoka na kufuga midevu ukiwa umepaka hinna. 😁
 
Hiyo ni juu yenu,mkitaka kusuka au kunyoa sisi haituhusu.

Mlidhani samia anaweza kuacha kumtumia kikwete kwa kuwa nyinyi mtachukia??au mlitaka kikwete amsusie nchi samia kama mstaafu akiombwa ushauri ili mambo yamwendee kombo kisha mpate la kumwangusha nalo??

Mtasubiri sana.

Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

Hudhani mwanzo wa ngoma ni lele?

Hudhani yawezekana Polepole hajamalizana naye?

Au hadi mchele wote umwagwe kukuni?
 
Jizi , fisadi Papa. Hiki kinyamkera kinakuja shabia kwa misingi ya kidini. Chenyewe kinafuga ndevu, kikivaa na dera au kipedal pusha basi kimemaliza. Mwenzio kikwete anaaiba anasaidia familia yake. Wewe unavaa kobazi zimechoka na kufuga midevu ukiwa umepaka hinna. 😁
Akitoka hapo anaenda kupigania vinyama msikitini hadi anatolewa ngeu.
 
Issue hapo ni udini au ni utaifa ???

Maana kama ingekuwa ni udini nadhani tungekuwa tukiwaona waislam wakinufaika lakini ukilitazama hata Hilo tabaka la hao waislam Hali zao Bado ni duni sana so Uwepo wa viongozi wakiislam Wala hauwanufaishi kwa chochote zaidi na zaidi hao viongozi Wana jinufaisha wao wenyewe tu,

Na kama viongozi wa kanisa wakati watu wanapambana na wazungu katika kulikomboa Taifa kutoka katika ukoloni halafu viongozi hao wa kanisa walikuwa Hawa waungi mkono walikuwa wanawaunga mkono wakoloni , Aiseee kama uhuru wenyewe tulio upata ndio huu unao wanufaisha viongozi wakisiasa Wakubwa pekee tu na kuwaacha Wananchi wakiwa na umaskini wa kutupwa ,

Basi Mimi naona Viongozi hao wa kanisa walikuwa sahihi kabisa maana uhuru ulippiganiwa na tukaupata Bado haujawa uhuru wenye msaada Kwa Wananchi wa hili Taifa , Bali umekuwa ni uhuru wa wajanja wachache na matapeli kuweza kuliibia hili Taifa
 
naunga mkono hoja, Christians hawana power tanzagiza, its over, fikiria tu hili maraisi wastaafu ndiyo waamutzi wa mwisho nafikiri kama sikosei na wanaweza mkata mgombea uraisi (kama ugombea uraisi wa Lowasa ulivyoonyesha), kwenye hilo kundi hakuna raisi Christian hata mmoja anayeishi, na kundi linaundwa na maraisi wa wastaafu zanzibar na muungano, sasa zanzibar wapo wengi maraisi wanaoishi bado lkn wote Muslim, wa muungano kuna raisi mstaafu kikwete na aliyepo samia wote muslim.

what hope is there for Christians in tanzagiza? hii ni playbook against unaoitwa "mfumo Kristo" na sasa ni end game ...
 
Back
Top Bottom