Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.

Taifa linatumikiwa hivi, bila shaka kwa kodi au rasilimali za taifa:

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Tafakari chukua hatua.
 

Attachments

  • IMG_20250827_224122.jpg
    IMG_20250827_224122.jpg
    322.7 KB · Views: 10
Askofu aliongea kwa wivu na chuki kubwa sana
Sijui alipataje Uaskofu
Kwanini wasidai haki yao ya kuoa iliyoondolewa na Papa bila sababu
 
Hiyo ni juu yenu,mkitaka kusuka au kunyoa sisi haituhusu.

Mlidhani Samia anaweza kuacha kumtumia Kikwete kwa kuwa nyinyi mtachukia? Au mlitaka Kikwete amsusie nchi Samia kama mstaafu akiombwa ushauri ili mambo yamwendee kombo kisha mpate la kumwangusha nalo?

Mtasubiri sana.
Kina uhusiano wowotekati ya waislamu siasa Kali na ujinga?
 
WIZI HATA MAASKOFU NA KANISA LINASHIRIKI,SO WAACHE KUPIGA KELELE...

WALISHIRIKI HADI KUPATA MGAO WA FEDHA ZA ESCROW,LEO WANATAKA KUSEMA NINI KANISA TUKALIEWA??

WAACHE SHOBO KABISA
Ustaadh karibu sana hapa Njia panda ya mbinguni kwenye ufunguzi wa kampeni

Shehe Mwaipopo na Mtume Mwamposa watatufungulia kwa Sala 🙏
 
Back
Top Bottom