JK ni sumu kuliko Sizonje. Ile ilikuwa ni fursa adimu (hutokea mara maoja kwa kila karne) ya kupata katiba mpya na kuibadilisha jamii lakini akafanya mambo yake ya mjini - akaiteka nyara ajenda nzima ya katiba mpya ili tusiweze kuipata. Nia yake kubwa ilikuwa ni kulinda CCM isife, basi. Afadhali Sizonje anajitutumua, mapovu yakiisha atatulia tu kama mtungi.Nadhani tungepata pa kuanzia kama Mzee Jakaya asingeikataa ile katiba pendekezi ya Mzee Sinde, sasa hivi hata yeye nadhani anajutia kosa lake kuondoka bila kuacha katiba sahihi
Mchimba kisima huingia mwenyewe ama mtuwe. Alidhani aliwakomoa upande wa pili kumbe Tanzania ni moja na watu wote ni ndugu na Afrika ni moja, mara kwa mara Mungu tusaidie sisi wote bila kujali itikadi za vyama. Utaachaje katiba ambayo kiongozi hahojiwi pahala popote?Apandacho mtu ndicho avunacho
Mkuu, you just made my day ...na niongezee, kwamba yule autakae URAIS, "Mkuu wa nchi anawajibika kwa WANANCHI wote, siyo tu kwa chama chake pekee"Nadhani tungepata pa kuanzia kama Mzee Jakaya asingeikataa ile katiba pendekezi ya Mzee Sinde, sasa hivi hata yeye nadhani anajutia kosa lake kuondoka bila kuacha katiba sahihi
Nadhani tungepata pa kuanzia kama Mzee Jakaya asingeikataa ile katiba pendekezi ya Mzee Sinde, sasa hivi hata yeye nadhani anajutia kosa lake kuondoka bila kuacha katiba sahihi
Unampongeza mama aliyeua kitoto kichanga makusudi kwa sababu alikizaa?Kwenye hili badala ya kumnanga tumpongeze. Walau alithubutu.
Ukiangalia hata tume aliyounda ilikuwa jumuishi na ilijaa watu wenye weledi na kuheshimika. That means alimaanisha.
Hakuingilia tume. Aliacha ikafanya kazi yake.
Tatizo lilikuja bunge la katiba. Kosa kubwa naona ni ukawa kutokubali kila kitu.
Almost vitu vingi vilivyopigiwa kelele vilikuwamo. Serikali tatu ndio kinawafanya wasuse.
Ukisikiliza hotuba ya kikwete kuhusu katiba pendekezwa, alisisitiza sana kuwa issue ya govt tatu hata kama inapigiwa chapuo sana inavyoonekana wakati wake bado.
Tulitakiwa tu kusikia la mkuu na kuendelea na mchakato. Huenda Kati ya tuliyosusia muda huu yangetuokoa. That was golden opportunity. Vyama mbadala havikupiga mahesabu uzuri
Sijui kwa nini bado kuna watu munapenda kulembalemba mtu ambaye alifeli kwa asilimia zote. Huyu hakujua hata alichokifanya. Leo hii ukimuuliza siyo ajabu akakueleza hakumbuki. Watu walikusanywa wakajiita Bunge la katiba, wakaongozwa na mtu wa aina yao na mwisho hawakumaliza kutukanana, wakaongezwa muda, wakatukanana saaana! baadaye wakapeleka mkusanyiko wa matusi kwa waTZ na kusmea ndo Katiba.Kwenye hili badala ya kumnanga tumpongeze. Walau alithubutu.
Ukiangalia hata tume aliyounda ilikuwa jumuishi na ilijaa watu wenye weledi na kuheshimika. That means alimaanisha.
Hakuingilia tume. Aliacha ikafanya kazi yake.
Tatizo lilikuja bunge la katiba. Kosa kubwa naona ni ukawa kutokubali kila kitu.
Almost vitu vingi vilivyopigiwa kelele vilikuwamo. Serikali tatu ndio kinawafanya wasuse.
Ukisikiliza hotuba ya kikwete kuhusu katiba pendekezwa, alisisitiza sana kuwa issue ya govt tatu hata kama inapigiwa chapuo sana inavyoonekana wakati wake bado.
Tulitakiwa tu kusikia la mkuu na kuendelea na mchakato. Huenda Kati ya tuliyosusia muda huu yangetuokoa. That was golden opportunity. Vyama mbadala havikupiga mahesabu uzuri
Unampongeza mama aliyeua kitoto kichanga makusudi kwa sababu alikizaa?