Mzee huyu amepotea kwa atakaye muona tunaomba msaada

Fundi rangi

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
3,193
2,000
Wapendwa wadau, Mzee wetu Ndugu Kabejema Rubainda, alitoweka nyubani Segerea Dar es salaam, kwa ndugu Alex Binomtonzi.

Mzee huyu ni mgeni ametokea Karagwe Kagera.ana umri wa miaka 80, hana matatizo ya akili. Alitoweka tangu ijumaa jioni ya tare he 12/12/2014, alikuwa amevaa shati la kijani mpauko,kandambili za rangi ya njano (yeboyebo)

Taarifa za police ni STK/rb/1696/14. 13/12/2014. Kwa yeyote atakaye muona tunaomba msaada wako kwa kutoa taarifa Police au waweza kupiga simu kwa namba.

0713225950 Alex
0766 111212 Tegamaisho

Asanteni na Mungu awabariki.
 
Mdakuizi

Senior Member
Dec 11, 2014
162
0
Poleni sana wapendwa, lakini mngekuwa na picha nadhani ingesaidia zaidi watu kumtambua kama ndiye aliyepotea. Mungu atafanya wepesi inshallah.
Ova
 
Fundi rangi

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
3,193
2,000
Wapendwa wadau, Mzee wetu Ndugu Kabejema Rubainda, alitoweka nyubani Segerea Dar es salaam, kwa ndugu Alex Binomtonzi.

Mzee huyu ni mgeni ametokea Karagwe Kagera.ana umri wa miaka 80, hana matatizo ya akili. Alitoweka tangu ijumaa jioni ya tare he 12/12/2014, alikuwa amevaa shati la kijani mpauko,kandambili za rangi ya njano (yeboyebo)

Taarifa za police ni STK/rb/1696/14. 13/12/2014. Kwa yeyote atakaye muona tunaomba msaada wako kwa kutoa taarifa Police au waweza kupiga simu kwa namba.

0713225950 Alex
0766 111212 Tegamaisho

Asanteni na Mungu awabariki.
Hii ndiyo picha ya Mzee wetu.
 
Makiri Unguluma

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
992
250
Mungu wa upendo awajalie subira, hekima na maarifa katika kipindi mnachosubiri kusikia habari za mpendwa wenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom