Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,809
- 140,807
inatoka stori toka Mbweni pale alipotupiwa nguo na kulala kweny gariTeh teh huu uchokozi
ndio nani hyoHayatuhusu hayo! Tupo bize na kuhakikisha Magufuli anaingia magogoni.
Hayatuhusu hayo! Tupo bize na kuhakikisha Magufuli anaingia magogoni.
Wana MMU kama wazee wamekuwa hivi je wajukuu na vijana itakuwaje...Kuna mzee mmoja hapa mtaani
kwetu ni mtu hatari sana!
Aliambiwa achague kati ya
Mungu na demu akachagua
demu.Akaambiwa achague kati
ya PESA na MABADILIKO mzee
fasta kachagua pesa!Duh
Kama Mbowe...?!!
Mbowe ni mzee? Hapa anaongelewa mzee mla mihogo mwenye mchumba.
Ha ha ha ha leo umeniamulia! Kila niendapo!