Price mtoto mzuri, usijali,
Excel yupo kwa ajili yako! ukitaka kupost video, hesabu hapo kuanzia kwenye bold, ukifikia hicho kitufe cha 14, hiyo ndiyo sehemu maalum ambayo una-paste URL kutoka lets say, youtube.. then unapost quickly!! video yako tunaiona live JF!!!.... Be happy with excel!!!
nimefika kijana, unasemaje hapa??....
Price fuata maelekezo yangu mtoto mzuri eenh!! lolz!)