Ndio huyo huyo alopewa gari na diamond....siwezi kuongea mengi kwa sasa taarifa zaidi zitakuja bdae[/QUOTE] mkuu hiyo baadae bado tu?
jamani jamani heading si inasomeka Gurumo
Wewe nawe kama kusoma hujui si utazame hata picha? unashindwa kujiongeza?
. Jambo la msingi ni kumuombea apate wepesi wa kuponaKwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika...yuko hoi hali si nzuri..anashindwa kupumua vizuri..kutokana na tatzo la mapafu.tumuombee Mungu amponye mwanamuziki wetu mkongwe
Mkuu sina contact zale Mzee small. Ila ninaamini kuwa ukiweka tena thread kuhusu contact zake unaweza fanikiwa kuzipata. Wakuu mwenye contact details za mzee small au namba za mtu wake wa aribu mnaweza kumpatia Tiba ili afanye mawasiliano. Yule mzee hali ni mbaya kuanzia malazi, chakula na matibabu.Mkuu Zogwale, nimewahi kuomba contact za Mzee Small ili niangalie jinsi ya kumsaidia lakini sikupata jibu kupitia hapa Jf. Je inawezekana unazo contact zake? Nimewahi kufanya kazi na huyu Mzee na ninajisikia kuwiwa kumsaidia.
Tiba
Mkuu sina contact zale Mzee small. Ila ninaamini kuwa ukiweka tena thread kuhusu contact zake unaweza fanikiwa kuzipata. Wakuu mwenye contact details za mzee small au namba za mtu wake wa aribu mnaweza kumpatia Tiba ili afanye mawasiliano. Yule mzee hali ni mbaya kuanzia malazi, chakula na matibabu.
Mkuu hii ilikuwa ni mara ya tatu kuulizia contact details za huyu Mzee Small lakini mpaka leo sijapewa ushirikiano. Ngoja tusubiri labda anaweza kujitokeza mtu na kutwambia angalau anakaa maeneo gani ili niende mitaa ile niulizie.
Mkuu ukisikia, tafadhali nishtue hata kama ni kwa PM.
Tiba
Mungu atakuponya Mzee Gurumo Inshaller.
Manya thanks Mkuu Bubu Msemahovyo. Ndugu Tiba naona hili litakusaidia sana. Ngoja nichote kwa hisani ya BM nikupelekee PM. Again shukrani sana BM.
Mzee Small anaishi Tabata Kimanga (Mawenzi) panda Daladala T/KIMANGA, teremka njia panda, utakuta boda boda waambie wakupeleke kwa Mzee Small maeneo ya Mandela-Chini. Utamkuta pale bado anaumwa.