Mzee Gurumo hoi muhimbili

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
4,010
Reaction score
3,423
Kwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika...yuko hoi hali si nzuri..anashindwa kupumua vizuri..kutokana na tatzo la mapafu.tumuombee Mungu amponye mwanamuziki wetu mkongwe
 
Kwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika...yuko hoi hali si nzuri..anashindwa kupumua vizuri..kutokana na tatzo la mapafu.tumuombee Mungu amponye

Mzee Ngurumo ndio nani?au Gurumo wa msondo?
 
Hivi ni Gurumo sio ngurumo. .huyohyo wa msondo
 
Kwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika...yuko hoi hali si nzuri..anashindwa kupumua vizuri..kutokana na tatzo la mapafu.tumuombee Mungu amponye

Eleza kwa kirefu zaidi ili watu wamfahamu!!! Hivi hujui mitandao wanaofahamika ni majina makubwa ya wasanii wetu wa bongo na wanasiasa, hata wale watendaji wakuu wanaofahamika? Binafsi sina details za hiyu mzee sana!!! Ni yule aliyekuwa mwanamuziki ambaye hali yake ni hohehahe? Hakika wasanii wa zamani na wa leo ni mbingu na ardhi!!! Sijui sembe halikuwepo Enzi zile au lilikuwa limethibitiwa na sasa limekuwa biashara huru Tanzania? Pona haraka mzee wetu, maana mzee small naye hali si nzuri, maisha yake hayaeleweki, amejilalia kitandani huku akiomba misaada!!!
 

Ndio huyo huyo alopewa gari na diamond....siwezi kuongea mengi kwa sasa taarifa zaidi zitakuja bdae
 
ndio huyo huyo alopewa gari na diamond....siwezi kuongea mengi kwa sasa taarifa zaidi zitakuja bdae

mkuu tusaidie kwanza kabla atuajendelea mmbeele gari anayo nani??naamini ma dk wanafanya their best
 
.......Namuombea MUNGU ampe nafuu... Gwiji la muziki Tanzania
 
mmmh mungu amsaidie, mbona jana nimempita nje ya mango garden saa 4 hiv usiku tena road anatembea peke yake.
 

Mkuu Zogwale, nimewahi kuomba contact za Mzee Small ili niangalie jinsi ya kumsaidia lakini sikupata jibu kupitia hapa Jf. Je inawezekana unazo contact zake? Nimewahi kufanya kazi na huyu Mzee na ninajisikia kuwiwa kumsaidia.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…