Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
Unaonekana unafaa kuwa Mrs Lee ewe SweetieLeeLord have mercy.. Maisha yetu humu ndani yanazidi kuwa magumu kila uchwao.!!
Naona huu ukoo wa Lee upo mwingi humu ndani sijui tupo Uchina..!!😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Demu ana kadi ya Ccm. Kula ondoka.
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hizi hasira na masingle maza zinatoka wapi mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mautamu yenu yamepungua ladha ...maarufu kila uchwaoHatupumui...si usiku si muchana..
.hamutupi muda wa kupumuzika..
.hahahaaaaa.. Munavyotuponda utafikiri Hatuwapi mautamu khaaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaliwa ,wanachukua pesa hao....ndukiNa sisi wenye hela zetu na maisha yetu je?
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Nimeshtuka balaa nikajua Ex wangu maana enzi zetu alikolea mpaka akawa anajiita ivo au MissLeeNaona huu ukoo wa Lee upo mwingi humu ndani sijui tupo Uchina..!![emoji23][emoji23]