Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,602
Watu wanalaumu kuwa alikuwepo huko mimi naona Magufuli alishaliona hili ila alijua hana ubavu wa kulizuia. Na watu watasema angehama chama lakini Magufuli alijua kwa katiba hii asingeweza kufikia lengo lake kuwa rais kwa katiba yetu ya CCM. JPM kwa umakini wake aliona acheze karata ya kujifanya mjinga na mmoja wao ili baadae apate nafasi. Magufuli alifuata ule msemo wa Mwalimu Nyerere kiongozi bora atatokana na wana ccm wasafi.
Hapa chini ni clip iliyochukuliwa akilalamika jinsi tunavyopigwa na hawa wawekezaji wanaotetewa na kina nanii..
Mjadala uendelee.
Hapa chini ni clip iliyochukuliwa akilalamika jinsi tunavyopigwa na hawa wawekezaji wanaotetewa na kina nanii..
Mjadala uendelee.