Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,882
- 16,469
Kuna wazazi wengine ni wakuda kinyama ukiwa na roho nyepesi unaweza mkana kua sio mzazi wako.
Mzazi unamjali kwa kila kitu kilichopo ndani ya uwezo wako lakini haoni juhudi zozote unazofanya, shukrani yake ni kukusimanga na kukusema kwa watu, mzazi ambae ukipata matatizo kwake yeye ndio inakua furaha na faraja kwake kwa kupata fimbo ya kukusimangia, mzazi ambae mdomo wake badala ya kukuombea heri na baraka yeye ni kukuombea mabalaa na laana, mzazi ambae kazi yake ni kuwafitinisha watoto wake mwenyewe wachukiane na kuwekeana uadui.
Kuna wazazi wengine ni vichomi kwelikweli ingawa pia wako watoto wengine ni pasua kichwa kwa wazazi wao.