Msukuma akiwa matembezini dar,alimkuta mzaramo anauza mananasi.mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo; (MSUKUMA):Jinga jinga? (MZARAMO):Kwenda huko!,mjinga mwenyewe,hivi nani mjanja kati ya mimi niliyezaliwa ocean road hospital na wewe uliyeingia dar kwa treni juzi tu? N.B(kwa kisukuma,jinga jinga?=shilingi ngapi ngapi?)