Mkuu Barbarosa sehemu ya ukoo wa huyu jamaa wapo sehemu moja Tabora inaitwa "Kwihala".Ni nje kidogo ya mji wa Tabora,njia ya kwenda Sikonge karibu na Seminary Kuu ya Kipalapala ya Kanisa Katoliki iliyojengwa toka miaka ya 1880's.
Huku Kwihala ndio ulikuwa mji wa zamani wa Tabora,kabla ya watu kusogea kuifuata reli ya Kati ya kwenda Kigoma,Mwanza na Mpanda.Lkn mji haswaa ndio huku Kwihara ambapo unamkuta Mzee Nassoro Mwarabu ambaye ni ukoo wa Tippu Tipu.
Na ukifika pale Tabora,hawa Waarabu Ukoo wa Tippu Tipu wanafahamika kama "Waarabu wa Kwihala".Pembeni ya hiki kijiji chao,kuna Makumbusho ya Kale,ambapo unakuta historia ya kina Livingstone,Henry Stanley,Wamisionary wa Holy Ghost Fathers ambao kwa mara ya kwanza wanafika Unyanyembe walipokelewa na hawa Waarabu wa Kwihala.
Eneo hili kuna miembe mingi sana,kuna maembe aina ya boribo na embe dodo.Miembe hii ni miembe "pori" maana haina mmiliki zaidi ya mtu yoyote kuchuma na kula.Miembe hii ilipandwa miaka ya 1880's ikiwa na lengo ya kutumika kama kiashiria cha njia ya kutoka Unyanyembe mpaka Ujiji-Kigoma kutokea Kalambo.
Wapagazi na Waarabu kila walipopita,ili wasisahau njia wakati wa kurudi walipanda miembe,ili wakati wa kurudi waitumie kama "Routes" za kufika.Na kumbuka safari wakati huo ilikuwa inachukua miezi hadi miaka.Ndio maana hata mkoloni toka Tabora mpaka Ujiji,alijenga reli akifuata miembe iliyopandwa na Mwarabu wa Kwihala ambapo ilikuwa sehemu ya makazi ya mke wa Tippu Tipu.
Imekaa poa sana.Mkuu Barbarosa sehemu ya ukoo wa huyu jamaa wapo sehemu moja Tabora inaitwa "Kwihala".Ni nje kidogo ya mji wa Tabora,njia ya kwenda Sikonge karibu na Seminary Kuu ya Kipalapala ya Kanisa Katoliki iliyojengwa toka miaka ya 1880's.
Huku Kwihala ndio ulikuwa mji wa zamani wa Tabora,kabla ya watu kusogea kuifuata reli ya Kati ya kwenda Kigoma,Mwanza na Mpanda.Lkn mji haswaa ndio huku Kwihara ambapo unamkuta Mzee Nassoro Mwarabu ambaye ni ukoo wa Tippu Tipu.
Na ukifika pale Tabora,hawa Waarabu Ukoo wa Tippu Tipu wanafahamika kama "Waarabu wa Kwihala".Pembeni ya hiki kijiji chao,kuna Makumbusho ya Kale,ambapo unakuta historia ya kina Livingstone,Henry Stanley,Wamisionary wa Holy Ghost Fathers ambao kwa mara ya kwanza wanafika Unyanyembe walipokelewa na hawa Waarabu wa Kwihala.
Eneo hili kuna miembe mingi sana,kuna maembe aina ya boribo na embe dodo.Miembe hii ni miembe "pori" maana haina mmiliki zaidi ya mtu yoyote kuchuma na kula.Miembe hii ilipandwa miaka ya 1880's ikiwa na lengo ya kutumika kama kiashiria cha njia ya kutoka Unyanyembe mpaka Ujiji-Kigoma kutokea Kalambo.
Wapagazi na Waarabu kila walipopita,ili wasisahau njia wakati wa kurudi walipanda miembe,ili wakati wa kurudi waitumie kama "Routes" za kufika.Na kumbuka safari wakati huo ilikuwa inachukua miezi hadi miaka.Ndio maana hata mkoloni toka Tabora mpaka Ujiji,alijenga reli akifuata miembe iliyopandwa na Mwarabu wa Kwihala ambapo ilikuwa sehemu ya makazi ya mke wa Tippu Tipu.
Mkuu platozoom sasa hawa Waarabu wa Kwihala wamechoka kama walivyochoka wale Waarabu wa Kayenze Mwanza,unaopanda nao magari ya Igombe wakati wewe unashukia kwenu Iloganzara.Mwanza mnawaita Waarabu Koko.Imekaa poa sana.
Barafu wewe Mwarabu wa Kayenze?
Mkuu nina bahati mbaya sijawahi kulala Tabora zaidi ya siku moja.Mkuu platozoom sasa hawa Waarabu wa Kwihala wamechoka kama walivyochoka wale Waarabu wa Kayenze Mwanza,unaopanda nao magari ya Igombe wakati wewe unashukia kwenu Iloganzara.Mwanza mnawaita Waarabu Koko.
Hivyohivyo ndio kwa wale wa Tabora...mkuu Barbarosa hawa jamaa wamechoka sana.Biashara zao ni mkaa wanachoma na kuleta mjini Tabora.Pia wanashughulika na kulima kilimo cha hapa na pale!Ukiwaona ni weusi tiii lkn wana nywele za "kiarabu".
Ni wauzaji wazuri wa Uyoga pori,maembe boribo na na dodo.Nafikiri mabadiliko ya uchumi wa dunia yaliwaacha kando.Wamebaki jina tu
loh salaaaale....Mkuu platozoom sasa hawa Waarabu wa Kwihala wamechoka kama walivyochoka wale Waarabu wa Kayenze Mwanza,unaopanda nao magari ya Igombe wakati wewe unashukia kwenu Iloganzara.Mwanza mnawaita Waarabu Koko.
Hivyohivyo ndio kwa wale wa Tabora...mkuu Barbarosa hawa jamaa wamechoka sana.Biashara zao ni mkaa wanachoma na kuleta mjini Tabora.Pia wanashughulika na kulima kilimo cha hapa na pale!Ukiwaona ni weusi tiii lkn wana nywele za "kiarabu".
Ni wauzaji wazuri wa Uyoga pori,maembe boribo na na dodo.Nafikiri mabadiliko ya uchumi wa dunia yaliwaacha kando.Wamebaki jina tu
Kuwa mstaarabu mkuu,unatoka kabisa kwenye lengo la post.JF ni tofauti sana na FBukipata mjukuu wake hata mmoja tu anatakiwa akaliwe tigo kabisa manake babu yao alifanya ushetani sana.
Kwa maisha yale sidhani kama wametunza.Mahali pazuri pa kupata historia ya huyu bwana na kwa Majirani zake Kipalapala Seminary,pale wana mpaka nyaraka za makabidhiano ya kuuziana/kupeana eneo la kujenga Seminary na kanisa miaka ya 1880's.Mkuu nina bahati mbaya sijawahi kulala Tabora zaidi ya siku moja.
Nikipata fursa nitapita Kwihala nijifunze Historia. Hivi hawawezi kuwa na nyaraka za Babu yao hata kidogo?
Halafu Tabora ni maarufu kwa black mamba. Ukiniambia wapo sipiti!
Huyo nae chotara?[emoji86]Ikumbukwe kwamba wakati wa Biashara ya Utumwa ni Waafrika wenzetu ndiyo waliokuwa wanakamata ndugu zetu kama Watumwa na kuwauzia Waarabu na Wazungu mmoja wao ni mtu maarufu Mchotara Tippu Tip ambaye alikuwa ni Mchotara wa Kiarabu na Kikwetu!
Mama yake Tippu Tip alikuwa ni Mbantu mweusi kama mimi na ni Mzaliwa wa Dar yetu kipindi hicho haikuitwa Dar wakati Baba yake ni alikuwa ni Mwarabu wa kuapia kutoka Oman, huyu ndiyo alikuwa kinara wa kutuuuza Waafrika, sasa swali langu ni Je, mzao wake Tipp Tip uko wapi?
Kwa maana Tipp Tip alioa wake wengi na watoto wengi sana tu hivyo ina maana kizazi chake kipo na kwa kuwa alikuwa ni tajiri, utajiri alioupata kwa njia haramu ya kuuza Watumwa basi aliurithisha kwa vizazi vyake vilivyofuatia, sasa viko wapi vizazi vyake?
Muuza watumwa Maarufu Afrika Mchotara Tippu tip!
Kazi ya Tippu Tip!
Asante kada Wakudadavuwa ndio maana niliandika "pori" nikiwa na maana si pori haswaa,bali ilipandwa miaka mingi kiasi imekuwa kama msitu na hakuna mwenye nayo.Mkuu Barafu...umedadavua vyema,ila hiyo miembe si pori bali Mjerumani aliwalazimisha wazee kupanda kwani maeneo hayo ni karibu na Boma la Mjerumani na Shule ya Tabora School.Makazi ya Kwihara ni ya Mtemi wa Unyanyembe Fundikira. Ni kweli yawezekana Kumbukumbu za Tiputipu zikawepo seminary ya Kipalapala.
Maeneo ya Kwihala kuelekea Sikonge kulikuwa na "Wanangwa'' waliojihusisha na biashara ya watumwa na Titputipu huku wakilipwa vioo,nguo,bangili nk..kama pesa ya kununulia watumwa.
Umeeleza vema.