Mzamiaji mweusi

Mzamiaji mweusi

Joined
Apr 22, 2022
Posts
31
Reaction score
16
Naomba kuuliza kitu am interested in Foreign exchange or Forex vipi kwa humu naeza pata wanao support harakati za kijipatia kipato ...???
 
Foreign exchange maana yake ubadilishaji wa fedha za kimataifa kwenda fedha nyingine mfano Us Dollar kwenda Euro, Tsh kwenda USD.

Forex ni lidude lingine kabisa ambalo nasikia limekaa kiutapeli tapeli hivi

kuwa makini na tuhela twako, mama yuko marekani ndugu yangu tunza hela
 
Acha kukatisha vijana tamaa sema huna shule
 
Foreign exchange maana yake ubadilishaji wa fedha za kimataifa kwenda fedha nyingine mfano Us Dollar kwenda Euro, Tsh kwenda USD.

Forex ni lidude lingine kabisa ambalo nasikia limekaa kiutapeli tapeli hivi

kuwa makini na tuhela twako, mama yuko marekani ndugu yangu tunza hela
U'r welcome in fx
 
Back
Top Bottom