Mzalendo Tundu Lissu

Kwa hiyo point yako na Lisu kwa Watz ni ipi sasa? Kwamba Magufuli aache tuendelee kunyonywa ama?
Naona huna uelewa wa kutosha....wewe point yako kwa watz ni ipi
 
Hebu mwelevu tusaidie wewe ulitaka zoezi hili lifanyikeje?
 
Tundu Lissu sio tena yule mzalendo uliyekuwa ukimjua..Atawezaje kumuunga mkono rahisi wakati wezi wengine amewaficha chumbani kwake..Sumaye na Lowasa walikuwa mawaziri kipindi cha Mkapa na Kikwete..nao wanahusika kwa namna moja au nyingine.Hivyo akiwasema anajeopardize nafasi yao ya kushika madaraka...He is now highly focusing on winning the elections rather than development of this country.That is why he opposes anything good by the govmnt.
 
UNAEZA LETA THREAD INAYOMUONESHA LISSU AKIWATETEA
 
UNAEZA LETA THREAD INAYOMUONESHA LISSU AKIWATETEA
Inawezekana unajua unachokifanya ama haujui unachokisema.

Kama ungelikuwa na utamaduni wa kujisomea/ kusoma hili swali ungelimuuliza Lisu mwenyewe kwa nini anapinga juhudi za serikali kujiondoa kwenye balaa hili
 
BASHITE Kweli una (0%), unadhani utatupata?, kwani nyie mafisadi FISIEM kwa mazingaombwe hatuwajui?.
 
Inawezekana unajua unachokifanya ama haujui unachokisema.

Kama ungelikuwa na utamaduni wa kujisomea/ kusoma hili swali ungelimuuliza Lisu mwenyewe kwa nini anapinga juhudi za serikali kujiondoa kwenye balaa hili
JUHUDI hizi za KUKURUPUKA?. Zisizozingatia na kuanika mikataba?.
 
Hii ndiyo shida ya kuachiwa akili za kuvukia barabara tu. Lisu hajawatetea hao waporaji bali ametoa angalizo na kushauri njia sahihi ya kuwabana. Hivi huko Lumumba mna fundishana ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…