Mzalendo Net, Kielelezo Cha Matusi Dhidi ya Wabara(Tanganyika )

Tujiunge kwa wingi huko mzalendo net tuwape ukweli wao hukohuko mwisho wataelewa tuu
 
Binafsi sioni sababu ya kujiunga na mtandao huu wa mzalendo, maana hawanaga jipya hoja yao huwa ni hiyo hiyo ya kujitenga. Mtandao umejaa wahuni tu hata elimu hawana, si unaona kiswhili chao?
 
Pole sana.......! Kwani hujui huo mtandao ni kama kijiwe cha kahawa..? Sasa unapochangia hoja kwenye kijiwe cha kahawa hata kama una facts gani ujue mwisho wa siku ni matusi na ushabiki vinatawala.
 
Mkuu sio kwamba wazanzibar wamewatukana wa bara sema huyo mhuni.Mtu mmoja asitafsiriwe kuwakilisha wengine kwani kuna kikao kimemtuma?hapana ni utashi wake na ni lazima kuwa na ngozi ngumu watu kama hawa hawakosekani
 
hivi bro mwendawazimu akikutukania mama yako utakasirika???? Hao ni wendawazimu na wameathirika na ugonjwa wa uarabu koko. Wanadhani muungano ukifa mambo yatarudi kama awali. Lakini hizo ni ndoto tuu.
Mimi kwa upande wangu ninaomba huu muungano ufe halafu tuone kiasi gani tanganyika tutaathirika na uamuzi huu. Kwani hata wakiamua kufukuza wa bara walioko kisiwani [sidhani kama wanafika elfu kumi] sisi huku tutafukuza mamilioni.
Dwa ni kuwadharau tuu kwa kutojibu. Kwa kufanya hivyo itawaudhi sana
elfu 10????

Wamejaa kibao. Tushakua nusu kwa nusu. Na wengi wao ni house girls na shamba boys na hawataki hata kurudi uko wanasema maisha magumu. Wengine hawana hata kazi wanazurura tuu wanasubiri usiku uingie wakwapue mali za watu.
 
Administrator mtandao wenu ( Mzalendo)una sifa ya kuhubiri Chuki dhidi ya watanganyika......Bahati Mbaya sana hata Waislamu ambao ndio majority Zanzibar kuwabagua waislamu wenzao kuwaita watwana au wanyamwezi ni Mbaya sana ..na sidhani Kama dini inafunisha hivyo....

Naomba ukitambua kuwa watanganyika wakiwamo waislamu na wakristo waliopo zanzibar Hawafiki asilimia 5% .........Zanzibar Ina Watu milioni 1.3 ...hapa mnaongelea Watu 65'000 ...sasa hao kweli ndio wanawafanya muwatukane kutwa kuchaaa......na kusahauu kuwa kwa hesabu zilizopo wazazibar wanaoishi Tanganyika ....ni takribani milioni 1 .......na hiyo ni asilimia 0.3 % ya watanganyika .........Sasa kweli Kati Yao kuna hata mmoja ameshawalalamikia kubaguliwa,,kunyanyaswa,kuitwa majina..,kunyimwa haki ya kuabudu ,haki ya kumiliki Mali ........

Mfike mahala mjuwe hizi Chuki mnazohubiri zitawadhuru wenyewe.......lazima mtetee haki za wachache kuishi Kama watanganyika wanavyoishi kwa upendo na wazazibar Huku...........na wala hatujawahi kufikiri kuwafukuza au lolote.......Wazanzibar milioni moja walio Bara yote wakirudi zanzibar mtakuwa ghafla milioni 2.3 ....si ndio mtapumua vizuri ? Kwa kuwa watanganyika 65'0000 waliopo zanzibar wanawanyima kupumua.....

Imefika mnaona Watu wa mataifa ya Arabuni....hata ya jirani ni bora ....kuliko Watanganyika ambao mama zenu wanatokea? Huo ndio ukweli ati.......Tunashukuru sehemu kubwa ya Watu Zanzibar ,,..hasa Unguja wana appreciate namna Ndugu Zao wanaoishi Bara wanavyoishi bila bugudha....na ndio wengi wao nao wanaoishi vizuri na watanganyika wachache Huko ...hata kuwapa makazi ya kupanga......Tunatambua kuwa wanao hubri Chuki ni wachache sana ...tena hata wengine wakiwa na makazi Bara ....ila tu wana kelele nyingi ...na fedha...Sijui wakifika chumbani ..itakuwaje?
 
Nawe Philemon ulifata nini kwa hawa wajomba zangu?mi "mjomba" wao tu naogopa kugusa mtandao wao maana hawachelewi kumtukana "dada" yao kuwa alifuata nini kwa "machogo!"
 
Payukeni mpaka povu la mdomo liwatoke,jamhuri ya watu wa z'br kwanza chokochoko hatwebuuu,mpaka kieleweke.
 
Me nashangaa sana zanzibar haitusaidii lolote kwa nn tunaing'ang'ania uchumi mbovu hwana lolote ubish tu tuachane tu yan watu hawan strategy yoyote,walitakiwa kujiimarisha kiuchumi kabla hatujaachana ili tukiachana wabenefit kiac flan watu hamna viwanda,ardhi,kilimo hamna chochote yan mnaomba tuachane ajili ya misaada ya OIC bogus! Tuachane tu muingie kwa passport muagize vyakula na kila kitu muwe na sarafu yenu,majeshi yenu bunduki na silaha zote tunarudisha hizo balozi mnazolilia si rahis kua nazo at par,lazima mfikirie.
 
ssba 24/02/2013 kwa 4:36 um · Jibu
Hao FBI waanze na mkuu wa polisi awaeleze kapata wapi taarifa kama shk kauliwa Na wezi wa nazi inaonekana wazi kuna watu wameliona tukiio.@ . philimon sisi tumeenea dunia nzima na tu huko tanganyika tumeleta ustaarabu Na kuinua uchumi mana tunalipa kodi kila sehemu Na nyie kaeni znz fanyeni biashara mlipe kodi lakini mambo ya kudai uhuru wetu msiyaingilie Na hizo tabia zenu za kishenzi msituletee"SSBA..(mzalendo )

SSBA...najuwa mnalipa kodi hata Somalia ....mlipokimbilia hadi mkarudishwa Juzi kwa msaada wa Nauli ya UNHCR...
Tunajuwa mnalipa kodi hata kule Shimoni Mombasa...
Tunajuwa mnalipa kodi hata kule ...UK mnakoishi kwenye nyumba za Council ....na kulipwa na home office...kwa madai kuwa bado hadi Leo ni wakimbizi na Hali ya Zanzibar haiwaruhusu kurudi ...eti mtauliwa...( na Scotland yard wakija watagundua mmemkuwa mkiwaibia kwa kulipwa bure)....rudini nyumbani!.?
Tunajuwa kwa uwongo wenu wa kujulipua mmesaida sana watanzania ....na Wazanzibar in particular ...kuwa sasa Kwenda UK hadi Visa ....wakati zamani tukijiendea UK ....bila visa Kama vile tunaenda sokoni..

Ndio ...ndio...
 
Jamiii forum hatuna wahuni....watu wwanabishana kwa Hoja ....pamoja na kuwa wanagombana.......,iimeniiuma sana kutukanwa na watu kukaa kimya just kwa kuwa Mimi ni mbara....,hi inaonesha mtandao wa Zanzibar hawataki maoni mbadala.....
Mtandao wa Wazanzibar wewe umefuata nini!? Pumbavu.
 
Mtandao wa Wazanzibar wewe umefuata nini!? Pumbavu.

Speed Tanker ......Mimi sintakuuliza kuwa umefuata nini hapa ..,maana JF ni Kama kichuguu...siafu na nguchiro au fuko wanaishii kwa Amani........

Kuhusu ..kutukana Kama ulivyofanya hapo juu...!!!! Nitaacha Watu waku judge wenyewe.....wakuweke kundi gani...
 
Speed Tanker ......Mimi sintakuuliza kuwa umefuata nini hapa ..,maana JF ni Kama kichuguu...siafu na nguchiro au fuko wanaishii kwa Amani........

Kuhusu ..kutukana Kama ulivyofanya hapo juu...!!!! Nitaacha Watu waku judge wenyewe.....wakuweke kundi gani...

Matusi ndiyo ustraabu wao wanaousema.
 
Hata wakibaguana si wao na ZnZ yao, we msuluishi unataka kuzuia wasibaguane. it seems una kiherehere acha utukanwe.

Kutukana ni ishara tu .... Ya Kikomo cha mtu kufikiri....,unapofika mahali akili inagoma kujibu hoja makini.....basi wapo ambao hulia machozi......ila wengine hutukana....,kuonyesha wamefikia Kikomo cha fikra na busara......,wanapotukana maswahiba Zao Hushabikia Matusi......! Na werevu huondoka au huwaacha tu...wakielewa kumbe sio Watu wa aina yao kiustaarabu...huwezi jibishana nao.
 
Tazameni sehemu tu ya matusi niliyoporomeshewa....

http://www.mzalendo.net/habari/seif-asema-tunataka-zanzibar-yetu

Author: Albusaidy
Comment:
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.

0717222373
 
Back
Top Bottom