Mzalendo Net, Kielelezo Cha Matusi Dhidi ya Wabara(Tanganyika )

Nilikuwa najadili Hoja ya Maalim ..kuwa wanataka Zanzibar Yao ....mawazo Yao ni kuwa muungano ukivunjka watafaidika kugawana utajiri wetu nusu Kama ndoa zinapovunjika.....,nikawaeleza juu ya michango ya kuendeshaa Tasisi za muungano ambayo hawatoi na vitu Kama umeme...

Una masimango sana nawewe.lol!
Oh michango hamtoi na umeme hamlipi ya nini yote hayo?
 
Tazameni sehemu tu ya matusi niliyoporomeshewa....

Seif asema Tunataka Zanzibar yetu | Mzalendo.net

Author: Albusaidy
Comment:
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.

Mkuu hii ungeiwacha kulekule madhali ulikubali yaishe......

@albusady nakushukuru kwa matusi yako….bahati mbaya kwetu hatuna Tabia Hizo …..,
 
mzalendo.net ni mtandao wa wahuni...kule matusi hayana ban bali pongezi.
hawa ndugu zetu wakishajitenga watapata shida sana.
 
Mkuu uliwafanyaje mpaka mkafikia huko.
Na wewe walewale tu......ameweka posts zilizopelekea yeye ktukanwa, ameweka hadi address ili uingie ukasome, lakini unauliza uliza tu!

Kawaangalie wenzako hata kuandika kiswahili hawajui, hovyo kabisa.
Yanio akili yao ni kwamba, Znz imeolewa na Tanganyika, hivyo wakiuvunja Muungano, watagawana mali pasu pasu....
manina walahi...!akili ya wapi hiyo?
 
Wenzangu kina nani?
 
Nadhani nmepaste mjadala ulivokuwa ...au hujaona???

Duuh.. Nimeona mtiririko ulivyokuwa.. Hawa jamaa wako rigid.. u just can't reason with them.. Yaani wao na Maalim Sefu.. Anachosema ndio chao.. I think the time's come for this Union to end.. Its very sad since i's born in Tanzania..
 
Umetukwana Mzalendo Net au umetukanwa na member wa Mzalendo Net.

Akome hii haina tofauti na kunyewa na ng'ombe zizini alafu analilalamikia zizi, Ukiingia zizini ukinyewa na ng'ombe usilalamike, ndiyo maana wengine hatujajiunga huko na tupo matusifree
 
Unastahili ulichokipata kwa nini usitulizane na Jf.
Nilikuwa najadili Hoja ya Maalim ..kuwa wanataka Zanzibar Yao ....mawazo Yao ni kuwa muungano ukivunjka watafaidika kugawana utajiri wetu nusu Kama ndoa zinapovunjika.....,nikawaeleza juu ya michango ya kuendeshaa Tasisi za muungano ambayo hawatoi na vitu Kama umeme...
 
Why do the Moderators of JF not ban this uncouth language? Tunajishusha hadhi kwa kuendekeza lugha ya matusi kiasi hiki.
 
usipoteze muda kubishana na watu ambao hawana kazi hawajaenda shule kila siku wanakaa vijiweni na kula karafuu na tende...use ur time wisely kufanya na kupanga mikakati ya kimaendeleo dont waste ur time arguin with fools.
 
Tazameni sehemu tu ya matusi niliyoporomeshewa....

Seif asema Tunataka Zanzibar yetu | Mzalendo.net

Author: Albusaidy
Comment:
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.
Hao jamaa ni duni sana kimaadili.Huwa vichekesho vyao na mengine huwa vimezungukwa na Ngono na mambo ya kishoga.Ni ngumu kumkuta mzanzibar mwenye nguvu za kukemea matusi zaidi ya kukemea nguo fupi.Hata JK naye huwa mizaha yake ni hiyo hiyo.

Ndugu yangu ungewaambia tuu ukweli jinsa gani walivyo duni kifikra na kimaadili ingawa wanainua vifua juu.Jaribu tumia maneno yasiyo na matusi ila makali iwezekanavyo.Kati ya hayo kuna wenye akili imebaki wanaweza jiangalia na kuna waliokubuhu hao waachie dunia yao.
 
Nafikiri waTanganyika ni waoga sana. wamekuwa waoga hata kujadili namna ya kuunda Serikali yao ya Tanganyika.

Kumbukeni ukumbi wa Zanzinet ni ukumbi wa wote kama ilivyo Jamii forum. Kila mtu kwa kufuata masharti ya ukumbi una haki ya kujiunga na kutoa michango yao ya mawazo.

Mfano mimi sina uraia kabisa wa Tanzania lakin kumbi zote nipo na nachangia kama kawaida.

Acheni woga kama mnaona yamewauma basi jiungeni huko muweke mambo sawa.

Kumbukeni HAKUNA SIMBA BILA YANGA.
 
hawa jamaa wa kizanzibari ni wa hovyo sana, ni wabaguzi kwelikweli dhidi ya wabara na hata wanapoleta unafiki wa kwamba wao ni waislamu na waislamu wote ni ndugu, still, wanawabua wabara
nilipata kusimuliwa na rafiki yangu Mtanganyika na muislamu aliyepata kukaa kwa muda Coventry, Uingereza, aliniambia mji huu uba wazanzibari wengi sana, lakini ni wabaguzi kwelikweli kila wakati husema jibara hilo, m-bara huyo, ijapokuwa yeye ni muislam mwenzao na hata wajihi wake ni kama mpemba (yeye mnyaturu) still walikuwa wakimbagua sana kule UK. Pili, nina marafiki zangu wanafanya kazi serikali ya Zanzibar, lakini wanalalamika ubaguzi ni wa hali ya juu sana,na hata japo wao ni waislamu bado kubaguliwa na kutengwa kwenye mambo ya kiofisi yapo sana tu
Nimenunua DVD kadhaa za uamsho ili kusikiliza hoja zao, ila ukweli muda mwingi ni kutukana serikali ya bara, nyerere, na wabara, kifupi inasikitisha sana kusikiliza chuki zikichochewa kiasi hiki na serikali zinakaa kimya tu,
 
mzalendo.net , zanzibaryetu.com etc, wameigeuza mitandao ya kihuni kuwatukana wa-TANGANYIKA badala ya wao kujenga hoja za msingi za madai yao ya msingi na kupata suluhisho ya wanayoyadai,
 
Back
Top Bottom