Mzalendo Net, Kielelezo Cha Matusi Dhidi ya Wabara(Tanganyika )

Pole sana PM,usikasirike endelea kuwaelimisha tu hata kama hawatakuelewa wajukuu zao watakuelewa siku moja.
 
Phillemon Mikael

Uliwafany nini wewe kwanza?hebu tuambie tujue ulichowachokoza kabla ya kuanza kukutetea,usituchezeshe goma tusiyoijua weka mambo yako hadharani maana haiyumkiniki ghafla tu wakuvamie wewe bila sababu kati ya watz wote mamilioni,kuna kitu umefanya kule wewe..kiseme
 
Last edited by a moderator:
Phillemon Mikael

Mkuu,usipate hofu biashara matangazo katoa number makusudi mchicha miba huo we piga simu utasikia anavyoitikia.
 
Last edited by a moderator:
Hii post inatoa taswira mbaya sana kwa wanzanzibari na sidhani kama huyo aliyekuwa anatukana anaelewa madhara yake kwa wanzanzibari wenyewe? Amejikita kwenye mambo mawili, 'rangi ya ngozi na homosexuality'. Sasa, kama debate ilikuwa ni kuhusu Zanzibar kujitenga na Tanganyika, skin colour na homosexuality vimeingiaje? Anataka kuuwambia nini ulimwengu? Mambo ya aibu sana haya!

Hivi mtanzania bara mmoja akiwatukana wazanzibar tunaukuhumiwa watanzania bara wote?
 
Nafikiri tuache falsafa ya Mwl Nyerere ifanye kazi,Sisi Wabara tukae kimya wajiondoe wenyewe kwenye muungano ili dhambi ya ubaguzi iwatafune vizuri.Kuna kikundi cha watu chenye maslahi binafsi kinawahadaa Wazanzibar.

Ngoja tujiandae kuchukua fremu zetu Kariakoo ili kama wana mitaji waje na uwekezaji mkubwa hatutaki uwekezaji wa maduka.
 
Jamaa katukanwa na Mzanzibar moja anawajumlisha Wazanzibar wote.

Kaka Ritz sasa unatetea nini hapo....nimesema hiki ni Kielelezo ....au sampling ya mawazo ya wazanzibari dhidi ya Wabara....ushahidi wa ubaguuzi upo wazi kila mahala ...mbona Huku sijapata ona..,kwa kiwango hiki....
Kweli tunajivunia rangi ya ngozi ya babu?....na kumdharau bibi kwa kuwa alikuwa mkoma au mtumwa toka bara....?
 
Kaka Ritz sasa unatetea nini hapo....nimesema hiki ni Kielelezo ....au sampling ya mawazo ya wazanzibari dhidi ya Wabara....ushahidi wa ubaguuzi upo wazi kila mahala ...mbona Huku sijapata ona..,kwa kiwango hiki....
Kweli tunajivunia rangi ya ngozi ya babu?....na kumdharau bibi kwa kuwa alikuwa mkoma au mtumwa toka bara....?

Kaka mie sitetei matusi.
 
Phillemon Mikael

Uliwafany nini wewe kwanza?hebu tuambie tujue ulichowachokoza kabla ya kuanza kukutetea,usituchezeshe goma tusiyoijua weka mambo yako hadharani maana haiyumkiniki ghafla tu wakuvamie wewe bila sababu kati ya watz wote mamilioni,kuna kitu umefanya kule wewe..kiseme

Hakuna kibaya...siunajuwa ukitoa maoni yanayokinzana na Sultani Maalim ...Angalia mtririko...chini......


34 Comments on "Seif asema Tunataka Zanzibar yetu"
fey 07/10/2012 kwa 7:13 um · Jibu
Maneno ndio hayo maalim. Lakini kutwambia tukachukue vitambulisho vya Tanzania sisi hat upends kuyasikia. Na huyo anayesema Kua tunamuhuri na bendera muhuri huo wake alouvalia suruali? Muhuri hautambuliwai hata hapo bara, huyu ndio hao vibaraka kweli, wanaridhisha mabwana zao. watatafuta pakukaa na sio Zanzibar, hatutaki vibaraka wa Tanganyika tukisha kuipata Zanzibar huru! Na inshallah kwa Mungu hakuna kubwa
makame silima 08/10/2012 kwa 9:42 mu · Jibu
HILI LILIHITAJI ZAIDI MAALM SEIF UMFAHAMISHE MSHAURI MWENZAKO MH RAIS WA WATU WA ZANZIBAR ALI MOHAMMED SHEIN ALIFAHAMU .
SISI WANA WA ZANZIBAR TUMESHAFAHAMU HAYO NAHIVI SASA NIKUYARUDIA RUDIA TU HAYO HAYO IT IS TIME FOR HAGTION NDIO TUKASEMA WAKATI WA KUMPIGIA ZUMARI NYOKA KUCHEZA UMEKWISHA, HIVI SASA NI KUMKATA KICHWA NA MWILI ULIOBAKI UTAOZA NA KUFA NA MAMBO YAKE.
LEO TUKISEMA TUNADAI HICHI NA KILE KUTOKA TANGANYIKA ,HII NI KUIZALILICHA ZANZIBAR AMBAYO NI DOLA HURU ILIO UNGANA TU NATANGANYIKA /TANZANIA SIO KWA WINGI WA WATU AU UKUBWA WA ARDHI ZOTE NI DOLA SAWA.
LAUMUHIMU MAMBO YAKUDAI NI MENGI NA KERO ZA MUUNGANO ZINAMIMINWA SIKU HATI SIKU , HIVI SASA NIKUDAI NCHI YETU VILIVYOMO NDANI VITAJILINDA WENYEWE TUKICHAKUWA NA ZANZIBAR HURU YENYE KUTAMBULIWA KIMATAIFA .
SIO LEO KUAMBIWA NJE YA TANZANIA SIO NCHI LAKINI NDANI YA TANZANIA NI NCHI ABOO , MBONA TANZANIA ILIOVAA JOHO LA TANGANYIKA INAJULIKANA NJEE NA NDANI AU KUPADILI JINA NDIO SABABU KUWA ZAIRE KUITA KONGO?.
TANGANYIKA IPO NA I IMEZIDISHA NGUVU ZAKE ZOTE, SISI ZANZIBAR NDIO HAIPO LIPO JINA TU TUNALIJUWA WENYEWE NA HILO KUNA BAADHI YA NCHI ULIMWENGUNI UKIWAMBIA ZANZIBAR HAWAJUWI.
LAKINI TANGANYIKA IPO NA HATA SHEREHE ZA INDIPENDENCE OF TANGANYIKA 1961 HUITWA SIKU HIZI KUWA NI ZA TANZANIA, NA KUNA MISADA MINGI HUISHIA TANGANYIKA LAKINI HUOMBEWA KWA JINA LA TANZANIA .
ANGALIENI WAZANZIBAR SEHEMU MUHIMU ZOTE ZA MIHILI YA NCHI WALIVYO ZIKUMBATIA WAKOLONI WETU TANGANYIKA MABALOZI WA NJE , MKUU WA USALAMA WA TAIFA , MKUU WA BANK KUU YA TANZANIA GORVENER (BOT) NA MKUU WA MAJESHI YA TANZANIA AMIRI JESHI MKUU (JK) WOTE NI WATANGANYIKA SASA VIPI LEO TUSEMI TANGANYIKA HAIPO NA HII NI NCHI YA MUUNGANO WA NCHI MBILI LAKINI MOMBO YOTE MAKUBWA WAMEYAKUMBATIA WAO NA KUYATIA MAGANJANI?.
IT IS (SHAME & SAD )KWA VIONGOZI WETU WA SMZ HUSUSANI WALE WENYE KUTAPIA MLOO NA KUZA UTAIFA WAO NA HUHISI KUWASALITI WAZANZIBAR NDIO KUJIIMARISHA.
KUNA VIONGOZI WA SMZ NIAIBU HATA KUJITA VIONGOZI ITI ,ETI VIGEZO VYAO VIKUBWA NIKUWA ZANZIBAR IKIJITOWA KWENYE MUUNGANO TUTAKOSA MBATATA NA TUNGULE IBOO, WENGINE HUSEMA TUMEOA NA TUMEJENGA TANGANYIKA ABOO.
KUOWA POPOTE PALE SIO TANGANYIKA TU BASI NIFAIDA SIO HASARA,LAKINI KUOLEWA NA HAWA WATANGANYIKA WASIO TUSAMINI KAMA NDUGU KWENYE SHIDA NDIO HASARA.
KUOWA MZANZIBAR BASI ASILI BADO HAIJA POTEA YA MTOTO KUWA NI MZANZIBAR ,LAKINI KUOLEWA NDIO KUSAFIRISHA NAFAKA KUPELEKA SEHEMU NYENGINE ,KIFUPI NI KUTUPA ASILI.
HIVI SASA VIONGOZI WETU WA SMZ / RAIS WETU HASAMINIWI PINDIPO ANAPOINGIA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI , YEYE ANAKUWA NI WAZIRI TU ASIO NA WIZARA MAALUM, HALIYAKUWA HUYU NI RAISI WA DOLA HURU YA ZANZIBAR NA WATU WAKE.
LEO ANAJIZALILICHA KWA MTU AMBAE UCHAGUZI WAKE NI WAKUPELEKWA KIJIBAHASHA CHA BARUA ,KIKWETE KUKAA KWAKE NA KUMCHAGUA WAZIRII MKUU KWA KIJIBAHACHA TU CHABARUA KUMPA SPIKA.
HII WAZANZIBAR SIO KUZARAULIKA RAIS WETU? AU NDIO KUKUBALI KULIPA FADHILA ZA DODOMA KATIKA UNYAKUZI WA UCHAGUZI? MIMI NASEMA MBELE YA ALLAH KUNA BADHI YA VIONGOZI WATAJUTA NA KUJUTA .
HII LEO TUNAONA WANAKULA RAHA LAKINI KUNA GARAHA YAO INAWASUBIRI NA DUWA YA MZULUMIWA/WAZULUMIWA ALLAH KAPA KUWA HUWEZI KUITUMA IKARUDI ISPOKUWA KURUDI KWA WAZULUMIWA WENYEWE KUJISAFISHA NA WAO WAKUBALI NDIO TOBA MBELE YA M/MUNGU ANAWEZA KUKUSAMEHE .
JEE VIONGOZI WETU WAMEFANYA HIVYO? AU NDIO WANASUBIRI UONGOZI UMESHAWATOKA NA MARADHI YAMESHAWATAMBALIA NDIO WAOMBE TOBA? .
M/MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA UTULINDE NA MADUWI JITIHADA ZIMEPITA NYINGI LAKINI HIVI SASA TUNAUHITAJI ZAIDI MSADA WAKO NA REHMA ZAKO ALLAH.
phillemon mikael 07/10/2012 kwa 7:45 um · Jibu
Maalim Hajui anataka nini,kutwa anazunguka na Ndege za Serikali ya Tanganyika ……..,Zanzibar Ndege Yao iliharibikia Mbeya ilipoenda kuchukua majani ya Ngombe wa Rais mstaafu wa Zanzibar……Anasafiri kwa kulipwa posho nono na Tanganyika……
Juzi kaka Arusha katukana watu wanakunywa Viroba …Hajui anataka nini….
ami-bin-kangagani 07/10/2012 kwa 11:14 um · Jibu
Ni kweli maneno yako maana Jumbe alipotaka kuitoa Zanzibar kwenye muungano Maalim alikwenda kumchuma kwa Nyerere. Sasa kageuka. Ubalozi utauweza kuundesha. Hivi sasa mishahara tu ya wafanyakazi wa serikali ya mapinduzi inafika miezi mitatu hawajalipwa. Je kodi ya ubalozi, wafanyakazi wa ubalozi wataweza kulipa?
Bayan 08/10/2012 kwa 7:16 mu · Jibu
Tafadhali matusi hatutaki, zungumza points tukusikilize kama una hoja. Maalim na wenginge wanataka ZNZ huru wewe unataka nini? Huo ndio uhuru wa maoni sio kutuonesha hulka zako! Maalim tumekusikia sasa panga mikakata na nje ya majukwaa ili siku moja iwe kweli.
MAWENI 07/10/2012 kwa 8:16 um · Jibu
Kuwa na msimamo mmoja tu . Sio vipande vya Tanganyika ( ati Tanzania). Una ubabaisha Umma. Tunataka vitambulisho vya DOLA YA ZANZIBAR.
mzaliwa 07/10/2012 kwa 8:40 um · Jibu
hii mbona inazingua baada kuandika vipande viruri ukitoma hayendi alafafu uanze upya au tusiseme mangi?
Feisal Amour 07/10/2012 kwa 8:43 um · Jibu
Maalim anajua kuwaliko nyie. Labda humumjui Maalim Seif na hamuijui zanzibar ilivo. Nambie kiongozi gani anaeitetea Zanzibar zaidi ya Maalim Seif. Wacheni fitina za mitaani kaeni mutulize akili zenu mumsikilize Maalim Seif kwa umakini..Maneno yake maalim sio ya kutafuna tafuna bali anaeleza vilivyo. Aliposema tuchukue vitambulisho vya UTANZANIA ni kwa sababu ya kujihami kwani hawa jamaa zetu wasichukulie vitambulisho kuwa ndio sababu ya kuwakataa watu wasipige kura 2015. Uzalendo upo pale pale lakini lazima tutumie na akili. Maguvu tu hayasaidii kitu lazima tuwe na hikma pia.
Vitambulisho itakuwa silaha kubwa ya CCM kuendelea kutu kandamiza .
AMKENI, AMKENI, AMKENI.
mzaliwa 07/10/2012 kwa 8:48 um · Jibu
wazanzibari wakitoka nnje ya visiwa huwa hawatajulikani ila wanaitwa watanzania kwani hata paspoti ndio ya tanzania,tufanye tuwe nayetu zanzibar paspot hata kama ikiwa kama kadi la clinic lakini yetu,
Mitihani tusainishe wenyewe na tuwe na vyeti vyetu tuone wasomi wapo wapi na sio kubanwa tuu,
Na hao viongozi wetu waliokua madarakani na bila kufanya lolote kwa nchi yao bali kula mali ya uma moto unawangoja,maana wakimaliza muda wao utawaona miskitini wanejinamia kama wanataka kuposwa vile hujifanya wanamjua Mungu..
bahussein 07/10/2012 kwa 8:51 um · Jibu
Phillemon Mikael
Kwani Tanganyika ina serikali? mbona hata hizo sherehe za uhuru wa Tanganyika
mnasema sherehe za Tanzania sasa hiyo serikali iko wapi?.
Bosco 07/10/2012 kwa 9:00 um · Jibu
Philemon mikael kwani maalim kakosea wapi kusema vijana wa arusha ni viroba adicted? Wallah niko tayari twende mguu kw mguu mpaka arusha ukashuhudie mwenyewe jinsi vijana wa arusha walivyokua adicted na ulevi hatari wa kunywa viroba 40% alcohol konyagi.hapo maalim hajamtukana mtu zaidi ya kusema ukweli.
Ukizungumzia kupanda ndege ya tanzania maalim anayo haki hiyo kwa vile hiyo ndege inamilikiwa na serikali ya muungano. Wacha chuki, choyo na ubinafsi. Ukitaka sisi wazanzibari tusitumie vitu vya upande wa 2 wa muungano unatakiwa ushirikiane na wana uamsho kuvunja muungano ili mupate tanganyika yenu. Kama huwezi hivo basi kaa kimya tuachie tujichagulie mabint wa kitanganyika mana wanapenda sana kulala na vijana wa kizanzibari.
mzaliwa 07/10/2012 kwa 9:01 um · Jibu
serekali yetu inawafiki ambao waliahidi kuijenga nnchi sasa wanaibomoa wewe bendera na muhuri ndio nini au kuwa unapata tonge unaogopa kusema,unaona utafukuzwa?kuna wengi wamo hata midomo hawafumbui kama vile mbuzi kalishwa chunvi,Maalimu anajitahidi sema hana wakumsaidia wanamuacha peke yake ndio maana huwa anahangaika kama vile anaharusi ya mwanawe kumbe anapigania hadhi ya nnchi,Nahoza chonga dau lako kwani tukiwa huru unatoka maana huna rafiki hapa zanzibar kama ulivosema,uso uwe na haya baba……
MTANGANYAKA 07/10/2012 kwa 9:09 um · Jibu
HAHAHAHAAAAAAA!!!!!!!! @ phillemon mikael HAPO JUU. Hapo huhukamaliza tuu bali umemalizika pia. Kumbe ni hivyo, yafaa uongeze darsa watu wadhani unajijuwa. Ingelikuwa ni hayo na hivyo ndio ilivyoo, basi na’am ungekuwa wamwanzo KUDAI TANGANYIKA YAKO ILI KUMUONA MAALIM ANTEMBEA KWA MIGUU BADALA YA KUPANDA NDEGE ZA NA KWA GARAMA ZA TANGANYIKA. KAMA KUNYWA VIROBA NI TUSI YAFAA UNGELIMSUTA KWA KUELEZA WANYWACHO. WACHA PUMBA HIZO. WEWE SI WAKUKUJIBU LAKINI BASI TU. MWACHENI HUYU MWENDA WAZIMU DAIMAN HUONA WENZIWE NDIO WENYE WAZIMU.
Maalim seif sadakta. chuale hujificha kwenye kome lake akawa kama hayupo lakini ukimpigia miuzi huibuka. Naona sikuhizi haweshi kukupigia miuzi ili tu wajuwe kuwa upo. Yapendeza kuona huwacheleweshi JEMADARI WETU.
TUNATAKA KUANZIA SASA UANZE KUNOWA MSUMENO WA SHERIA, MARA TU TAIFA LIKIWA TAYARI UANZE KUKEREKETA PASI NA KUCHAGUWA, AH, HUYU TUMETOKA MBALI, LOH, HUYU WAFULANI, SUBHANA, YULE MZOEFU.
SHERIA NI MSUMARI INALENGA UPANDE MMOJA TU WAKUSUKUMA, UKIRUDISHA INASAKA HALIFU WENGINE, UKISUKUMA INAWAKEREKETA WANAOJIRI. ASOKUWEMO HAINGII ALOKUWEMO HATOKI. HIYO NDIO MITHALI YA KUENDESHA NCHI, KIONGOZI HUSIMAMIA SHERIA MPAKA KINAELEWEKA. KAMA KUNA UPUNGUFU WA UTENDAJI, BASI ANZA KUPANGA UELEWA NA KAGAME WA RUANDA AU NI BURUNDI VILEE, NISAIDIENI.
mzaliwa 07/10/2012 kwa 9:13 um · Jibu
jamani kuna madini yakila aina Tanganyika na bado wanatuchukulia pesa zetu zanzibar wanatufinya,wanaomba misaada ulaya kila siku hawana walitendalo hujakutuwekea makanisa tu Zanzibar ndio lao kuu wakati ukiwakusanya wakiristo wote zanzibar hata kanisa moja hawajai, wakati miskiti yetu tunasali hadi nnje kuwa ndani kumejaa, tumechoka na vichogooooooooooooooooooooooooooo
MTANGANYAKA 07/10/2012 kwa 9:18 um · Jibu
PARAGRAF YA MWISHO NAKUSUDIA SHERIA NI MSUMENO NA SIO MSUMARI KAMA INAVYOSOMEKA. SAMAHANI UKUMBINI.
mzaliwa 07/10/2012 kwa 9:20 um · Jibu
huu mtandao wachache wanaujua sasa naomba tumwage tarifa kwa wazanzibari wote waujue huu ili kilio kisikike kwa nguvu toa tarifa hata kwa rafiki zako kwenye facebook,utashindwa kumisi hapa maana mada zitakua kabambe..ukombozi wa mzanzibari
Said Sudi 07/10/2012 kwa 10:17 um · Jibu
>huu mtandao wachache wanaujua
Na upo ule mwengine uitwao ZANZIBAR NI KWETU. Nauona nao ni kabambe, kwani unasambaza maneno ya Maalim Seif tu. Asieujua au-google kama anataka faida!
Said Sudi 07/10/2012 kwa 10:44 um · Jibu
Nd. Kiongozi,
Source ya maneno haya ni wapi? Tafadhali Kaka siku zote weka chanzo cha habari zako, kwasababu nasi tunazipeleka kwa wengine na watatuuliza Maalim kasema maneno haya wapi?
Tayari nishaziona hizi habari zako huko ZANZIBAR NI KWETU na source ni hapa na kwahivyo ni muhimu kutoa source yako kila siku.
Nadhani labda haya maneno yapo kwenye Facebook ya Maalim. Nisahihishe kama sio kweli, kwasababu sina dakika za internet za ku-cheki!
xkalasinga 08/10/2012 kwa 1:18 mu · Jibu
“Maalim kansema .. stupid! kama kasema kichochoroni nani anamsikia? hayo maneno akamwambie rafiki yake kikwete alompa umakamu na maswahiba zake CCM A. …wakisiwa cha pili bwana ..ndio wakwe na masheji zetu but mnaboa si kipole pole.
phillemon mikael 08/10/2012 kwa 4:06 mu · Jibu
bosco Wanawake kupenda jambo la kawaida ….hata sisi tunao wanawake wa Kizanzibar ….ukizingatia watu wa bara tumejaliwa mikia mirefu….
kumridhisha mwanamke wa Bara Inakubidi uwe mwanamume kweli …unayekula chakula ..ukashiba.
Kachero 08/10/2012 kwa 4:15 mu · Jibu
Waswahili hawafahamiki hasa wanachokitaka ni nini. Maalim alipokaa kimya juu ya Uzanzibari, walisema keshapewa fupa huyo anakula kuku kwa mrija. Leo anasema kitu cha maana wanatoa maneno ya kijinga. Ujahili utatutoka lini jamani. Amkeni tuwe kitu kimoja na siyo kuwasimanga wanaoteta maslahi ya nchi. Pengine hawa ndiyo hao wanaoona muhuru na kibenedera cha kugandishiwa ndiyo nchi.
pambanua 08/10/2012 kwa 5:11 mu · Jibu
@ philemon
acha kuzungumza utumbo mpumbavu kama wewe upate mwanamke wa Kizanzibari wapi? labda mla unga, na izo lugha zako kazungumze huko kwenu ugogoni, usituletee kama ni kusukuma bakora hakuna anaetushinda sisi hatuchagui kwa kuipeleka sisi hata wewe ukitaka tutakusukumia,,tafadhali karibu RIGHTS BROTHERS street inayoelekea kwa salehe madawa kama huijui waulize watu darajani pale ukifika utapelekwa,,mimi sipo saa hivi lakini vijana wapo watakushughulikia.
Wamtambwe 08/10/2012 kwa 7:16 mu · Jibu
phillimon mikael.
Unaposema kuwa Zanzibar hawataweza kulipa kodi za ubalozi haijawa hoja kama itawaliwe Maisha. Nafikiri kama ulikwenda kwenya ubalozi wa Ujerumai Dar hivi sasa nchi zote za EU wako katika jengo moja tu. Sio kwa sababu ya Umaskini ila ni makubaliano. Nafikiri na sisi kama tutashirikiana kwa Mikataba inawezekana.
Jambo la kujiuliza miaka yote hiyo inajuilikama Tanzania, Kuna watalii wangapi wanaoingia Zanzibar kwa mwaka ambao kila mmoja hulipa angalau $50 kwa ajili ya Viza, jee Hizi pesa Zanzibar walikuwa wanagaiwa nao?
Au ndio munaona kua hizi pesa mutazikosa kwa hiyo munataka kututisha tusidai uhuru wetu
Habib 08/10/2012 kwa 9:28 mu · Jibu
@ SAID SUDI
NI KWELI KABISA! HII HABARI NI BUTU, NIKIMAANISHA HAINA MASHIKO YA NANI KASEMA NA ALISEMA WAPI NA ILIKUA SIKU GANI KTK GHAFLA GANI….!
INAKOSA MVUTO KABISA KWA MTU ASIEPENDA KUBURUZWA KWA HABARI MFANO WA HIZI.
***THE PEOPLES’ REPUBLIC OF ZANZIBAR FIRST***
phillemon mikael 08/10/2012 kwa 9:32 mu · Jibu
@ wamtambwe….ndoa ya mkataba wanaiweza wenye uzoefu wa Kuolewa ( CUF).. Msimamo wetu bara ni Aidha serekali moja tu….Zanzibar iwe Jimbo moja lenye Gavana….,au mikoa miiwili yenye wakuu wa mikoa Pemba na Unguja…..Makamu wa Rais tutawapa…..la hilo haliwezekani muungano tutavunja….na kuondoa vikosi vyetu na kuvitega Mafia….Sultani wa Oman arudi …tushafanya mazoezi ya kujilinda dhidi ya Sultani kutokea Mafia na visiwa vyake…
babycute 08/10/2012 kwa 9:43 mu · Jibu
Shule ya Secondary ya LIMBANI kule Wete PEMBA inakabiliwa na mtihani wa PRACTICAL siku ya jumatano na hawana vifaa hata kidogo, wanahitaji milioni moja na nusu kufikia lengo na mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha ambazo hata laki 2 hazijafika, kama yupo mwenye uwezo wa kusaidia ajitokeze hapa
Wamtambwe 08/10/2012 kwa 10:00 mu · Jibu
phillimon mikael
Naona suali nililokuuliza hukulijibu, Nilikuuliza kuhusu pesa ambazo Tanganyika wanazipata kwa watalii wanaongia Zanzibar. Au wataka kuniambia kwamba Balozi za Tanzania zote zinatoa huduma Bure . Kama ni Fidia Tangandanyika haiwezi kuifidia Zanzibar walipokwisha wadhulumu. Tuchukulie Hisa ya Zanzibar tu kwenye BOT.
Kuhusu kwamba nyinyi munataka Serikali moja na Pemba na Unguja ziwe Mikoa tunaelewa ya kwamba hilo ndio lenu. Lakini haimaanishi ya kwamba matakwa yenu ndio sheria kwa Zanzibar na watakaoishe watajionea wenyewe kwa macho yao. Tunaelewa wazi munaposema Sultani munakusudia Uislamu. Eleweni ya kwamba kama munavyouchukia Uislamu ndio hivyo hivyo unavyochukiwa Ukristo Zanzibar. Kwa hapa tulipofikia ama faima litajuilikana moja.
battawi 08/10/2012 kwa 10:46 mu · Jibu
Bw.Phillemon mikael
tafadhali onesha upevu wa uelewa.Inaonesha wewe hujuwi hata ulisemalo.tanganyika Kimsingi haipo,Iliyopo ni Jamhuri ya muungano wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) .Hizi ndege anazopanda Maalim ni zetu sote,na muungano ukivunjika itabidi TUGAWANE PASU KWA PASU .kama hujuwi uliza uambiwe.na kwa taarifa yako ukikatika mutakuwa na madeni mingi kweli ya kutulipa,maana tokea pesa zetu ziingie BOT mwaka 1967 Zanzibar haijapewa gawio la faida la mtaji wake 11.5% ya kuanzishwa kwa benki hiyo toka SMZ.Ile ndge aliyoiharibu Salmini ilikuwa si ya Muungano,lakini hii iliyopo sasa ni ya Muungano.
Upoooooooooo
battawi 08/10/2012 kwa 10:58 mu · Jibu
MKATABA WA MUUNGANO TANGANYIKA MUTAUTOWA SIKU IKIWADIA
Siku ya kugawana mapato ya muungano na ,kwa yale mambo yalioongezwa kinyemela kazi ipo.Maana naamini Tanganyika siku hiyo wata ruka kimamnga kutowa mgao kwa idara zote walizo ziongeza kinyemela kwenye Muungano.leo hii wanapata mapato wanafurahia,lakini siku ya kuja kudai mgawo pasu kwa pasu ,najuwa mutaturuka na mutauzuwa mkataba wa asili wa muungano.Hili nalibashiri mapema wasijeleta matata jamaa zetu akina Philemon
phillemon mikael 08/10/2012 kwa 11:10 mu · Jibu
Pambanua…dini gani duniani inayohalalisha mwanamume asichague pa kuipeleka mikia wake ….hayo mambo ya sodoma…yet mnawacheka wazungu..kwa kuoana..wakati unachiongea kinaonyesha wewe unaunga mkono uzembe..Huu..yet unajiita Mtu wa dini…
wewe hata nikikupa dada yangu hutamuweza dhaifu wewe…Lakini dada zenu waliopata waume Huku hawataki muungano uvunjike…
Batawi nyie Hamna cha kugawana na bara kwani SMZ inajiendesha kwa ruzuku ya bara….,maden Mengi ya TANesco,michango ya bajeti ya wizara za muungano hamtoi etc..infanct muungano ukivunjka Leo ,Hamna cha kuwalipa watanganyika……tutawasamehe tu Kama kawaida yetu…mutuondolee midomo
phillemon mikael 08/10/2012 kwa 11:24 mu · Jibu
Nyie mmeshazoea dezooooooo…..hakuna Tasisi ya muungano mnayochangia pesa….,you are entertitled to only 5% ya mambo ya Mgao wa misaaada ya kimuunganoo….and mnatakiwa kuchanga pia …Lakini nyie miziigo ni dezooooooo …kila Mtu amewachoka Huku…..
Albusaidy 08/10/2012 kwa 9:53 um · Jibu
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.
kemit 08/10/2012 kwa 10:59 um · Jibu
AA:
MKO WAPI!
MKO WAPI VIONGOZI WA HUU MTANDAO (MZALENDO)?
HAIPENDEZI KUONA UCHAFU HUU ULOANDIKWA HAPA HATA KIDOGO.
HAIFAI NDUGU ZANGU,
COME ON,
THIS IS THE LOWEST OF THE LOW!
YOU LET US DOWN!
YOU LET YOURSELF DOWN!!!!!!!!!
phillemon mikael 09/10/2012 kwa 4:00 mu · Jibu
@albusady nakushukuru kwa matusi yako….bahati mbaya kwetu hatuna Tabia Hizo …..,
Leave a CommentLogged in as phillemon mikael. Log out »You are subscribed to this entry. Manage your subscriptions. Comment moderation is enabled. Your comment may take some time to appear.
 
Last edited by a moderator:
Hivi inachukua muda gani kuuvunja huu muungano? haya matusi na vijembe vinatosha Wazanzibar wanalalamika mno ni bora tuachanenao wakatafute ndoa mpya.
 
ukimsikiliza shoga yoyote (m-se-nge) anasimulia juu ya historia ya ndoa zake (kama amewahi kuolewa au kuwekwa kinyumba) LAZIMA atataja sehemu tatu i.e. Zanzibar, Mombasa na Tanga so hao jamaa kwa 'Express Yourself' hawajambo ila wako bize kuikomalia pork.
 
Hivi mtanzania bara mmoja akiwatukana wazanzibar tunaukuhumiwa watanzania bara wote?
Ritz katika vitu ambavyo huwa vinaboa ni kugeneralize but kwa wazench ni tofauti kabisa, nakumbuka mie ni mmoj wa watu niliotukanwa nao wakati wanajadili hii hoja ya zanzibar kujitoa kisha tugawane mali pasu kwa pasu. kiukweli ilifika mahali na mie uzalendo ukanishinda nikajisemea siwajibu. pillemon aliwapa facts ila wakakataa na mie niliwaambia hata ndoa mali hazigawiwi pasu kwa pasu kama mtafutaj alikuwa mmoja tu wakasema sie wabara was......nge na matusi kibao kimsingi waliniboa na nimesema hoja yyte ambayo inajadiliwa kwa matusi na jazba badala ya kutumia facts zenye mashiko sijadili asilan na nimeifunga hii web siifungui tena kama blog za issa michuzi na nyinginezo nyumban kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Jamiii forum hatuna wahuni....watu wwanabishana kwa Hoja ....pamoja na kuwa wanagombana.......,iimeniiuma sana kutukanwa na watu kukaa kimya just kwa kuwa Mimi ni mbara....,hi inaonesha mtandao wa Zanzibar hawataki maoni mbadala.....

Kule hakuna hoja...ni ubabe tu bila kutumia akili zetu.
 
mkuu usitake kuwatuhumu wa zanzibari wote au member wote wa mzalendo net kuwa wametukana.
Hayo ni mambo yapo jwenye mitandao yote hata humu yapo.
Pili haujatueleza imekuaje mpaka umetukanwa, inawezekana na wewe umetukana sasa ukajibiwa.
Tatu ingekuwa busara ukaripoti kwa mods wa mzalendo.
 
Mtandao wa kipuuzi sana ule halafu wote wanaoandika post zao mle hata kuandika kiswahili fasaha ni tatizo kwao wamezoea kuandika kiarabu tu... wajinga sana wale jamaa.. Kwanini tusibaki na Tanganyika yetu?? CCM haswaa wamerogwa na nini? waachieni waanze kubaguana wenyewekwa wenyewe mfano halisi ni kule Sudani sasa hivi Sudan Kusini na Sudani Kaskazini.. wapo wapi?
 
Back
Top Bottom