mzaha mzaha hutumbua usaha...

Mpigie tena una kila sababu ya kumsumbua kwenye hili pamoja na kuwa wewe ndiye mkosaji...usichoke kabisa katika jitihada zako za kutafuta suluhu. Kila la heri.

Najuta jamani... Lakini huwa tunataniana na hata yeye huwa ananitania sana basi tu jana ndo imekuwa hivyo... Nimempigia kapokea ananiambia nisimsumbue...
 
Mpigie tena una kila sababu ya kumsumbua kwenye hili pamoja na kuwa wewe ndiye mkosaji...usichoke kabisa katika jitihada zako za kutafuta suluhu. Kila la heri.

Mkuu amerudi... Ila kalewa hajiwezi.
 
Reactions: BAK
Hasira hasara kenda kuutwika kwa hasira zake...Pole sana umeyaona madhara ya utani usiohusu kitu usirudie tena. Usichoke kuomba samahani mpaka amani irudi katika hii ndoa changa. Kila la heri.

Mkuu amerudi... Ila kalewa hajiwezi.
 
Hahahahaaa!
Tell him ze truth!
Then unamchokonoa-chokonoa mpaka akugonge/akugegede! Wakati mkifanya hivyo, Ule wazimu wako wote muoneshe hapo! Kama ilikua sku zote anakulalia, leo mlalie yeye! Kama unakanda unga vile!
Hahahahaaa!
Umemaliza mkuu.
 
Hasira hasara kenda kuutwika kwa hasira zake...Pole sana umeyaona madhara ya utani usiohusu kitu usirudie tena. Usichoke kuomba samahani mpaka amani irudi katika hii ndoa changa. Kila la heri.

Mkuu sirudii tena... Maskini mume wangu...
 
Issue ndogo tu. Jishushe kaa chini zungumza nae. Nawe uwe unafanya mzaha wote ila kutaniana kunyimana vitumbua na mihogo ni sumu.

Unajua kakuoa kataka hako kahuduma sasa wewe unafanyia mzaha eti.

Leo asubuhi hakikisha unampa yote unayojua then zungumza nae tu kwa upole na unyenyekevu atakuelewa.

Umenielewa Vannele dada angu? Kuwa mpole tu. Usipanic, ndo ndoa hiyo mama.
 
Last edited by a moderator:
Amtegee akirudi...umpe kuanzia sebuleni au jikoni apige viwili vya eneo tofauti na bed then atakusamehe...na kusahau kabisa usije kuta kila siku anaomba utani...
 
Kuna ndoa ngumu sijawahi ona. Mna hakika mmefunga ndoa?
 

badala ya kusema tuyamalize nyumban kifamilia umekuja kuomba msaada huku??NITAKUKOMESHA
 

mnaaminika nyinyi mijike? Huenda kweli umegegedwa huko unatuzuga sisi hapa. Hlo lakwako utajua mwenyew
 
eti tabia njema, we niaje, maushauri yako huwa ya hovyo sana nshakusoma, change yo perspective towards men & marriage woman.
 
Siwezi mkuu... Ndoa yangu bado changa.

pole sana madam!na siamin ni sahihi kusema kwamba huwezi kufanya ...just because ndoa ni changa ,so ndoa ikikomaa ndio utafanya hivyo(kuhusiana na hii reply ya comment ya mchangiaji mmoja)...
Sote ni wanadamu na tuna makosa,kama kaondoka mtafute kwa simu;kama hapokei mtumie hata sms ,mwambie ni kwa kiasi gani uko sorry,be humble ataelewa tu,.....hoping ataelewa tu!
 
Jamani nashukuru sana wadau... Mume wangu ameshusha hasira zake na amenisamehe... Nashukuru sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…