mzaha mzaha hutumbua usaha...

Pole dada. Siku nyngne uwe makini na mizaha isipitilize. Atakusamehe tu huyo mumeo kwa sasa anakutia tu kitumbo joto ili akutese.
 
pole bt km kweli ni mumeo note that hakuna mzaha ktandan na iwe mwisho hyo jana, hope atakusemehe, muoneshe kuwa unajutia ulichomtendea
 
Haahaahaa! Kuna vidume vingine utani haviwezi kabisaaaa! Hapo anajifanya kukasirika ili mradi tu amepata upenyo wa kakigudulia kake huko nje! Loh! Ndo basi teena ushampa tiketi ! Hapo two things envolve either akirudishe kimelegea ama arudi kesho kikiwa erecting! Haahaahaahaahaa! Usirudie tena!
 
Tubu ukimaanisha hivyo, na usitengeneze diffensive mechanisim kabisa ili aweze kutoa msamaha wa kweli

Basi tu huwa tunasahau misemo ya wazee, Usifanye utani na mumeo/mkeo kwenye jambo linalohusu ndoa
 
huyo ngoja kwanza akapunguze stress kwa BIG RESULT now
 
Najuta jamani... Lakini huwa tunataniana na hata yeye huwa ananitania sana basi tu jana ndo imekuwa hivyo... Nimempigia kapokea ananiambia nisimsumbue...
 
Ehe kumbe serious sn? Keep on texting hm. Na ndio kujuana huanzia hapo na uimara pia utaujenga hapo kwny hyo angle. Muandalie the best food he like unapopika na chochote anachnpenda, akiona hatosita kufurah na kukusamehe. Omba tu asiwe na kam2 pemben ndio ikawa sababu. Huyo wako so must cum back.
 
heee! Ww unautani, unmletea mzaha mwanaume kwenye hyo kitu!?
...nimejionea mimi....
Ushauri msubiri hasira zishuke
 



Kwani kila siku anakubanjua?

Halafu tambua hiyo ni ishara ya kutojiamini
Huyo mumeo hajiamini kabisa!
 
Najuta jamani... Lakini huwa tunataniana na hata yeye huwa ananitania sana basi tu jana ndo imekuwa hivyo... Nimempigia kapokea ananiambia nisimsumbue...


Akirudi leo jitahidi ummpe mpaka kesho ashindwe kwenda kokote!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanaume wako wengi, akikuzingua tafuta mjanja ale nafasi yake.
 

Pole sana, inahitajika kazi ya ziada kumshawishi aamini kinyume na anacho amini. Ndoa nyingi zimevunjika kiaina hiyo hiyo, yako inaweza kuwa ipo njiani pia.
 
it was a joke!
keep on joking!
I MEAN it!
yu have the house,mwili and his mind
mpka arudi kwenye mstari
 
af mwanaume gani anazira huyoooo!
aaargh!
mi ngekufata huko huko na mzungu wa nne wako!(nione utanuna mpk sa ngapi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…