Mzaha Mkali!

mshamba tu huyo hajui kupiga picha.... hapo angevua nguo picha ingetoka vizuri zaidi na mzaha ungekuwa bonge la mkali.
Angevua nguo hiyo miiba angeipeleka wapi happiness win?Kama si hiyo miiba, kweli wazo la kuvua nguo lingeongeza msisimuko kwenye huo mzaha.
 
Last edited by a moderator:
Natamani wanaume wote wakware wangepewa 1200 kama hiyo yenye miiba nadhani wangetulia.
 
Nimepatwa na mshangao wa ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…